LATEST ARTICLES

Alexis Sanchez yuko njiani kuelekea London kujiunga na timu hii

Arsenal wanaendelea michezo ya kujiandaa na msimu ujao wa ligi, lakini Alexis Sachez bado anaendelea na huku masuala ya mkataba wake na timu hiyo...

Keita, Van Dijk na ‘mla bata’ Emerick Aubameyang watavyompa ubingwa wa EPL Klopp

Na Salym Juma, Arusha Liverpool ni timu kongwe nchini Uingereza na Ualaya kwa ujumla. Mataji ya Ulaya iliyochukua ukijumlisha na yale ya ligi kuu ya...

Makamba kushuhudia robo fainali Ndondo Cup Power Breakfast vs Amplifier

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais na Mazingira Mh. January Makamba leo Julai 27, 2017 atakuwa mgeni rasmi kwenye michuano ya Ndondo...

Neymar azima tambo za Manchester United 

Baada ya tambo nyingi zilizoletwa na ushindi wa michezo yao yote ya kujiandaa na msimu wa ligi hatimaye usiku wa kuamkia leo ngebe za...

Coutinho aomba kwenda Barcelona

Bado dirisha la usajili linaendelea kushika kasika kasi na taarifa za chini chini zinadai kiungo wa Liverpool Phellipe Coutinho amemuomba kocha wake Jurgen Klopp...

Gundogan amsifu Gurdiola huku akiihofia Manchester United

Ilkey Gundogan amekuwa na msimu mbaya ndani ya Manchester City kwani tangu alipojiunga nao amekuwa akiandamwa sana na majeraha ambayo yamemfanya kuichezea City michezo...

Habari za usajili barani Ulaya hii leo

Inasemekana mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Neymar ameiomba klabu ya PSG kumnunua Coutinho, Neymar ambaye yuko njiani kuelekea PSG inasemekana anaaamini muunganiko wake na...

Baada ya Morata kwenda darajani, tegemea pengo lake kuzibwa na mmoja kati ya hawa

Na Salym Juma, Arusha Real Madrid ni klabu tajiri yenye mashabiki wengi kila kona ya Dunia. kuna jarida moja liliwahi kuripoti kuwa ‘Pitch’ ya Real...

Starehe za Neymar huenda zikampeleka Dybala Camp Nou

Na Salym Juma, ArushaBrazil ni nchi inayopatikana Kusini mwa Amerika. Nchi hii imejaaliwa watu wenye Vipaji lukuki hasa mpira wa miguu. Brazil imejaaliwa warembo wazuri ambao...

Makinda wa kuchungwa EPL 2017/18

Na Salym Juma, Arusha Ligi kuu ya Uingereza ni miongoni mwa ligi 5 maarufu Duniani. Mara nyingi kabla ya kuanza kwa EPL, wachezaji kadhaa wamekuwa...

Alvaro Morata apewa “laana” Chelsea

Katika soka kuna imani mbali mbali, nyingine zinaletwa na mazoea na nyingine zinaletwa na historia, imani hizi hujengeka kwanza kwa mashabiki na baadae huenda...

Mourinho Vs Guardiola nani kiboko kwa kumwaga mikwaja: Wametumia zaidi ya trillioni 5 kwenye...

Kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita, soka barani ulaya limeendelea kuwa biashara kubwa. Wachezaji wamekuwa wakiuzwa na kununuliwa kwa mabilioni ya pesa kutoka timu...

Msuva anaitaka La Liga

Ndio hivyo tena safari ya Simon Msuva imeiva sasa kuelekea Morocco kuanza maisha yake mapya Difaa Hassani El Jadidi ya Morocco. Msuva ataondoka Dar kesho...

Star wa Ndondo Cup amesajiliwa Mbeya City

Klabu ya Mbeya City FC imemsajili Idd Selemani 'Ronaldo' kwa mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo ya Halmashauri ya jiji la Mbeya. Kabla ya...

Pamoja na kichapo, Conte ammwagia sifa Morata

Chelsea hii leo walikuwa uwanjani kuwakabili Bayern Munich katika mchezo ambao Chelsea walikubali kipigo cha mabao 3 kwa 2 kutoka kwa wababe hao wa...

Masikini Michu, alazimishwa kustaafu soka awaachia mashabiki ujumbe wa kusikitisha

Unamkumbuka Michu?mwaka 2012 aliponunuliwa tu Swansea kila mtu alianza kumzungumzia haswa baada ya kufunga mara 2 wakati Swansea wakiilaza Arsenal kwa bao 2 kwa...