Home Kimataifa Abdi Banda na Himid Mao timu zao zagawana vitambaa

Abdi Banda na Himid Mao timu zao zagawana vitambaa

9340
0

N’golo Kante amesema kuwa anafurahia maajukumu mapya aliyopewa na kocha wao mpya Maurizzio Sarri. Kante ametumika kama mchezaji wa dimba la juu ili kuweza kuwazuia wapinzani kuanzia kwemye lango lao huku akiwa anashambulia pia. Jorginho atatumika dimba la kati ili kuhakikisha utulivu ambao ndio mfumo Sarri anapendelea zaidi.

Jana timu ya Himid Mao ilicheza dhidi ya wapinzani wa Simba klabh ya Almasry amabpo mchezo huo ulienda sare ya mabao 2-2. Jana Mao alipewa kadi yake ya njano ya kwanza. Mabao ya Petrojet yalifungwa na Sanogo. Hta hivuo ligi ya Misri wameanza kuruhusiwa kuingia uwanjan

Shemeji yake Ali Kiba bwana Abdi Banda wa Baroka FC klabu yake imetoka sare ya 1-1 dhidi ya Kaizer Chiefs. Bao la Kaizers chiefs lilifungwa na Tshabalala lakini Bao la Baroka, Kaizers chiefs walijifunga.
Baroka Fc wapo nafasi ya 6 wakiwa na alama 4.

Kocha mkuu wa Chelsea Sarri ameondoa vikwazo kwa wachezaji wake. Hapo awali wachezaji walipaswa kulala hotelini siku moja kabla ya mchezaji huku Conte akiwapangia wachezaji vyakula vya kula. Sarri amewaruhusu wachezaji wake kutokea nyumbani kwao lakini akiwasihi kula vyakula watakavyoshauriwa na madaktar.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here