Home Kimataifa Aguero na Messi wanatisha hadi wanaboa

Aguero na Messi wanatisha hadi wanaboa

10006
0

Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero ametimiza hatrick tisa, na kuwa sawa na Robbie Fowler mwenye hatrick 9 pia. Allan Shearer peke yake ndiye anashikilia rekodi ya hatrick 11 kwenye ligi kuu ya Uingereza.

Aguero Sergio kun: Ametajwa kuwa mchezaji bora wa mechi

Alama 10
Mabao 3
Mashuti 9
Amelenga 4
Kukimbia na mpira 2
Pasi muhimu 1

David Silva kwenye ligi kuu ya Uingereza, tangu ajiunge na Manchester City,

🔵 250 Michezo
🔵 167 Ushindi
🔵 75 asisti
🔵 49 Magoli
🔵 3 Makombe

Messi aliifungia Barcelona bao la 5,000 La Liga mwaka 2009, Lionel Messi jana aliifungia barcona bao la 6000. Amechangaia mabao 462 kwenye mabao 1,000.

• 337 Mabao
• 125 asisti

Washambuliaji wa Everton waliofunga magoli mawili katika mechi zao mbili za kwanza, katika liigi kuu ya Uingereza.

Brian McBride – January 2003
Romelu Lukaku – September 2013
Richarlison – August 2018

Winga wa klabu ya Bayern Leverkusen, Bailey Leon, amesaini mkataba mpya na klabu yake utakaomfanya abaki hapo mwaka 2023.

Beki wa kulia wa Manchester City, Benjamini Mendy ametoa msaada wa magoli matatu kwenye mechi moja msimu huu, kuliko mchezaji yoyote katika ligi kuu ya Uingereza.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here