Home Ndondi Akimbia ulingoni sekunde ya kwanza

Akimbia ulingoni sekunde ya kwanza

7633
0

 

Duniani kuna watu wana maamuzi magumu sana. Mtu ametoka nyumbani kwenda ulingoni. Ukumbi umejaa watazamaji wengi tu. Unafika unasalimia na mpinzani wako kisha kengele inapogongwa wewe huyo unatoka zako unaenda kwenu. Daah ni moja ya tukio la kishujaa sana kwangu kuwahi kuliona. Ni jambo la kishujaa lakini lina aibu kubwa ndani yake 
The Premier Boxing Champions logo is seen in the ring at the Barclays Center in Brooklyn, on Saturday, August 1, 2015. (AP Photo/Gregory Payan)

Baada ya kengele kupigwa na mpinzani kuondoka basi Efe Ajagba ikabidi apewe ushindi ambao hajatafuta kwa jasho. Ushindi mrahisi zaidi kwenye masumbwi.

Efe Ajagba ambaye amepewa ushindi wa bwerere aliziwa   22 April 1994 kule Nigerian.

Efe Ajagba
Taarifa binafsi
Utaifa  Nigeria
Kuz 22 April 1994 (miaka 24)
Kimo 6 ft 5 in (196 cm)
Kazi Mwana masumbwi
Uzani Super heavyweight

Inasemekana kuwa Curtis Harper aliondoka ukumbini baada ya kushindwana kwenye makubaliano ya mkataba. Mpambano huo ulipaswa kufanyika siku ya tarehe 25 mwezi huu wa 8.

Per Patrick Reusse mwanidishi wa  1500 ESPN kule Minnesota, anasema kuwa Harper alitaka kulipwa fedha nyingi na kudai kiasi alichoahidiwa ni kidogo mno na kinamdhalilisha.

Hata hivyo bwana Bobby Brunette kamishna wa the Minnesota Boxing Commission alisema kuwa mwanamasumbwi Harper alishakubali mkataba wa hapo awali ambao yeye anadai kuwa ulikuwa nanfedha kiduchu.

Harper alimweleza Jordan Hardy mwandishi wa PremiereBoxingChampions.com  “malipo yao yalikuwa kidogo”

Malalamiko yake ni kwamba alikosewa sana heshima kwa kupewa dau dogo kiasi kile.

 

Ajagba sasa ameweka rekodi ya kupigana mapambo 6 na kushinda yote 6.

Hata hivyo inasemekana kuwa Harper huenda akapewa adhabu. Mwana ndondi huyo mwenye miaka 30 amepigana mapambano 13 na kupoteza mapambano 6 huku akishinda mengine 7. Katika mapambano yake 8 ya mwisho ameshinda 6 na kupoteza mawili.

 Takwimu za Michezo 8 yake ya Mwisho
Tarehe Mpinza Mat
2018-08-24 Efe Ajagba

5 0 0
L
DQ

1/6
2017-08-11 Andrew Greeley

15 47 3
W
TKO

3/6
2017-05-26 Zhilei Zhang

15 0 0
L
TKO

1/8
2015-03-13 Chris Arreola

35 4 0
L
UD

8/8
2014-08-30 Terrell Jamal Woods*

5 13 3
W
UD

6/6
2014-07-26 Tobias Rice

5 12 1
W
TKO

2/8
2014-05-29 Joshua Tufte

15 0 0
W
UD

6/6
2014-03-29 Robert Dunton

9 10 1
W
TKO

6/6
2013-09-21 Earl Ladson

15 19 1
W
UD

6/6

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here