Home Dauda TV Alichofanya Haji Manara baada ya goli la Chama

Alichofanya Haji Manara baada ya goli la Chama

5953
0

Kama hukufanikiwa kumwona Mzee baba Haji Manara baada ya goli la Chama lililoipeleka Simba hatua ya makundi, Dauda TV inakupa fursa ya kumshuhudia Manara alivyopagawa na ushindi huo.

Kwa mara nyingine tena Manara alishuka hadi chini uwanjani (ambako haruhusiwi kuwepo kwa kanuni za uwanja) na kuanza kusherekea ushindi wa Simba pamoja na mashabiki huku yeye akicheza kama alivyowahi kuonekana kwenye mechi kadhaa za ligi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here