Home Kimataifa Anayewindwa na United asaini mkataba, Simba yazidi kujifua

Anayewindwa na United asaini mkataba, Simba yazidi kujifua

5656
0

Pichani hapo juu ni kocha mpya wa muda wa Man United akifanya mahojiano kwa mara ya kwanza tokea ateuliwa kuchukua mikoba ya Mourinho


Goli kipa wa klabu ya Paris Saint Germain, Alphonse Areola, amesaini mkataba mpya utakaomfanya abaki ndani ya klabu hiyo mpaka mwaka 2023.


Everton inatarajia kuongeza ukubwa wa uwanja wao kutoka mashabiki 52,000 mpaka mashabiki 62,000


Beki wa pembeni wa klabu ya Juventus Alex Sandro, amesaini mkataba mpya utakaomfanya abaki katika klabu hiyo mpaka mwaka 2023. Sandro, hivi karibuni amekuwa akihusishwa kuondoka Juventus, na kujiunga na klabu Manchester United, Real Madrid, na Chelsea.


PATA KIFURUSHI

Jose Mourinho: MUFC

Muda: 3 miaka
Usajili: £369m
Vikombe: 3
Nafasi ya juu zaidi kwenye ligi: 2

Fainali: 5

Hatma: AMEFUKUZWA

Jurgen Klopp: Liverpool

Muda: 4 miaka
Usajili: £400M
Mataji: 0
Nafasi ya juu zaidi kwenye ligi: 4
Fainali: 3

Hatma: BADO ANAIONGOZA LIVERPOOL


Wachezaji wa Simba leo walifanya mazoezi yao kwa ajili ya kujiandaa na mtanange dhidi ya Nkana siku ya jumapili


Tanzania imepangwa kundi A kwenye michuano ya AFCON itakayoandaliwa mwakani

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here