Home Kitaifa Baadhi ya Takwimu za Simba kuelekea mchezo wao na Al Ahly

Baadhi ya Takwimu za Simba kuelekea mchezo wao na Al Ahly

3735
0

Wakati Simba wakiwakaribisha Al Ahly hapa zipo takwimu kadhaa za kutipia macho.

Klabu ya Simba ina rekodi nzuri sana wakiwa katika uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya klabu bingwa tokea mwaka 2000+.

♦️Mechi >> 19
🎯Ushindi >> 13
♥️Sare >> 3
❌Vipigo >> 3


Hata hivyo Simba ina rekodi ya kuvutia inapokutana na vilabu kutoka Misri.

Simba ina rekodi za kibabe inapokutana na na vilabu kutoka Misri hasa wanapokuwa wenyeji. Simba haijwahi kufungwa na timu kutoka Misri ndani ya Ardhi ya Tanzania.

Imefanikiwa kupata Clean sheets 2 katika mechi 6, na imeruhusu kufungwa goli zaidi ya moja kwemye mechi moja tu dhidi ya Al Masry

🦁2019: Simba vs Al Ahly*
🦁2018: Simba 2-2 Masry 🤝🏽
🦁2001: Simba 1-0 Ismailia ☑️
🦁2003: Simba 1-0 Zamalek ☑️
🦁1996: Simba 3-1 Mokaoulun☑️
🦁1978: Simba 2-1 Al Ahly ☑️
🦁1985: Simba 2-1 Al Ahly☑️


Simba wakiwa nyumbani klabu bingwa wamekuwa na rekodi nzuri sana ambayo imekuwa ikilinda heshima yao na taifa kwa ujumla.

Simba imekuwa na rekodi nzuri ya magoli ya kufunga na kufungwa tokea 2000s kwenye michuano ya klabu bingwa wakiwa wenyeji:

⚽ Magoli ya kufunga >> 34
😥 Magoli ya kufungwa >> 14


Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here