Home Dauda TV Exclusive: Cannavaro kafunguka alivyosajiliwa kwa mkate na viatu

Exclusive: Cannavaro kafunguka alivyosajiliwa kwa mkate na viatu

12869
0

Kweli maisha ni safari, hivi unajua kama Nahodha wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amewahi kusajiliwa kwa mikate miwili na viatu vya mpira?

Inaweza kuwa ni jambo ambalo linakushangaza, lajini huo ndio ukweli alisajiliwa kwa mikate ambayo anasema aliipiga na supu akaanguka saini kujiunga na timu inayoitwa Medisani akitokea timu ya vijana iitwayo Kuwait.

Cannavaro anasema, wakati huo lengo haikuwa ni kupata pesa. Lengo lilikuwa ni kutafuta nafasi ya kucheza akaonekana ili afikie malengo.

Unajua Yanga walimsajili kwa dau shilingi ngapi? Mshahara wake wa kwanza Yanga ulikuwa kiasi gani? Full story unaweza kuangalia hapa chini kupitia Dauda TV on YouTube. Cannavaro amefunguka mambo kibao ambayo huyajui.

#KwaheriMfalmeWaMatajiYanga

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here