Kimataifa

Home Kimataifa

Mtazamo wangu juu ya Jorginho ndani ya klabu ya Chelsea.

Kila kukicha kwa wale wanafiatulia wa mchezo wa soka habari ya mjini ni muendelezo mbovu wa kocha wa klabu ya Chelsea, Maurizio Sarri ,na...

Mishara ya wachezaji gumzo Cameroon

Inaelezwa zaidi ya asilimia 70 ya vilabu kwenye madaraja ya ligi mbili za juu nchini Cameroon havijalipa mishahara wachezaji wake kwa zaidi ya miezi...

Kushuka daraja sio kufa.

Mwishoni mwa msimu wa mwaka 2016-17, Sunderland AFC ilishuka daraja kutoka ligi kuu ya uingereza kwenda ligi ya daraja la chini yaani Sky Bet...

Wasifu wa Emiliano Sala

Wahenga wanasema, siku zote mtu sio mtu, mpaka akifariki ndo huwa mtu. Wengi tusinge mtazama, na dunia kwa ujumla isingeweza kufahamu uwepo wake. Lakini...

Waamuzi 18 wapigwa pini Nigeria

Chama cha waamuzi nchini Nigeria 'The Nigeria Referees Association' (NRA) kimewasimamisha waamuzi 18 kusimamia mechi za ligi ya Nigeria Nigeria Professional Football League (NPFL)...

Rais wa CAF apangua tuhuma zinazomkabili

Rais wa CAF Ahmad Ahmad kwa mara ya kwanza amejibu tuhuma za Mussa Bility wakati akiwa kwenye michuano ya Afrika kwa vijana chini ya...

Mali yashinda ubingwa wa Afrika U20

Timu ya taifa ya vijana ya Mali chini ya miaka 20 imeshinda ubingwa wa Afrika baada ya kuifunga Senegal kwa changamoto ya mikwaju ya...

Joh Makini amempa jina jipya Lukaku ‘Makaptura’

Joh Makini amempa jina jipya mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku, wakati Dauda TV inafanya mahojioano na mkali huyo toka kundi la WEUSI alisema...

Nikki alivyomshawishi Baby Mama kujiunga Man United

Nikki Wapili anasema kuna watu wa Chelsea huwa wanamzingua sana siku Manchester United ikipasuka. G Nako ni miongoni mwa watu ambao huifanya simu ya...

Msuva aiokoa timu yake nyumbani

Simon Msuva jana ameiokoa klabu yake Difaa El Jadida kuchezea kichapo dhidi ya RSB Berkane kwenye uwanja wa nyumbani baada ya kuisawazishia bao kwenye...

Ulimwengu kafanya yake huko Algeria

Thomas Ulimwengu jana aliifungia JS Saoura kwenye mchezo wa ligi ya Algeria (League 1) na kuisaidia kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya DRB...

Eto’o agoma kustaafu soka

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Samuel Eto'o amenukuliwa na mtandao wa BBC akisema, ataendelea kucheza na hana wazo la kustaafu...

Castle Lager yawafungulia bonge la fursa wachezaji Bongo

Mashindano ya Castle Lager 5 msimu wa pili yamezinduliwa rasmi leo Afrika Kusini katika jiji la Johannesburg ambayo ni mashindano ya mpira wa miguu...

Historia fupi ya klabu ya Yanga

Klabu ya Yanga ni moja ya vilabu vikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Ina mafanikio nje na ndani ya Tanzania. Siku...

Kwanini Sergio Aguero ndiye mfalme wa EPL?

Binafsi sijamuona fowadi kama Aguero EPL. Wapo watakaomtaja Harry Kane lakini bado kuna vitu vya tofauti naviona Kwa Kun'. Hakuna siri ni wazi uwezo...

Takwimu kuelekea kivumbi cha Chelsea vs City

Man city Vs Chelsea: Uchambuzi kuelekea mechi kati ya Man City Vs Chelsea, ambayo itaanza saa 1:00 Usiku.Je, Pep Guadiola atakubali kufungwa tena na...

Salamba angalizie kwa Kaheza ukishindwa kwa Ambokile.

Makala na Raphael LucasMiaka kadhaa iliyopita maeneo ya Kakola wilayani Kahama aliibuka kijana mwenye nguvu na uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu za wapinzani pasipo...

Sir Ole Gunnar ataipeleka United nafasi ya 4 leo?

Fulham vs Manchester United, mchezo huu utapigwa katika dimba la Craven Cottage, majira ya saa 15:30 jioni. Fulham, wameshinda michezo mitatu kati ya michezo 27...

Wabongo walivyomfanyia surprise Samatta uwanjani

Wadau wa sekta ya Utalii kutoka Tanzania, Tim Mdinka na Eugen Malle jana walikuwepo uwanja wa Luminus Arena (uwanja wa nyumbani wa KRC Genk)...

Samatta azidi kupaa ufungaji bora Ubelgiji

Mbwana Samatta anaendelea kukifukuzia kiatu cha ufungaji bora wa ligi ya Ubelgiji (Jupiler Pro League) baada ya usiku wa Ijumaa February 8, 2019 kupachika...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow