Kitaifa

Home Kitaifa

Azam vs Simba kufa au kupona

Leo Ijumaa February 22, 2019 kuna mechi kali ya Azam vs Simba katika mwendelezo wa ligi kuu Tanzania bara itakayochezwa uwanja wa taifa kuanzia...

Mtibwa inakwama wapi?

Nikujuze tu kwa ufupi, Mtibwa Sugar haijashinda mchezo wowote wa ligi tangu tumeingia mwaka 2019! Mtibwa imeshindwa kufanya vizuri kwenye ligi tangu ilipotolewa kwenye mashindano...

Uchaguzi Yanga palepale

Mipango ya uchaguzi wa kuziba nafasi ndaninyabYanga inaendelea kama kawaida ambapo uongozi wa klabunl hiyo umetaja majina ya baadhi ya wajumbe wa kamati ya...

Singida United yaomba kubadilishiwa uwanja

Singida United imethibitisha kuomba mechi yao ya Azam Sports Federation Cup ambayo itachezwa mwishoni mwa wiki hii dhidi ya Coastal Union uchezwe kwenye uwanja...

Zahera afichua siri ya kuvunja rekodi ya Mbao Mwanza

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amefichua siri ya ushindi wa kwanza wa timu yake dhidi ya Mbao FC kwenye uwanja wa Kirumba Mwanza. Kabla...

Makamba atoa darasa Bodi ya Ligi

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba ambaye pia ni mwanachama wa Simba amesema kwa sasa ligi yetu...

Rekodi ya Mbao inaitesa Yanga Mwanza

Yanga leo inaingia uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kujaribu kufuta rekodi mbaya ya kuchapwa mechi zote na Mbao FC kwenye uwanja huo. Kwa ufupi...

Ni #MbeyaDerby Mbeya City vs Prisons

Ebwana leo jijini Mbeya kutakuwa na #MbeyDerby (Mbeya City vs Tanzania Prisons) mechi kama kawaida itachezwa uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine. Miaka kadhaa iliyopita derby...

Makamba anaamini Simba itetea ubingwa, atoa ushauri kwa viongozi

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba ambaye pia ni mwanachama wa Simba itatetea ubingwa wake msimu huu...

Kitendaliwa cha Mdhamini mkuu TPL nani atategua

Tunapokuwa tunacheza mchana kutwa mitaani, tukumbuke pia na wapi tutakula ikifika jioni. Tuangaze macho penye ukungu ili tuweze kukabiriana na jambo litakalo tukumba. Tanzania...

Azam yapunguzwa kasi, Simba yapiga kiporo

Azam imeendelea kupunguzwa speed kuwania ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara baada ya kujikuta ikishindwa kupata ushindi mbele ya Coastal kufuatia sare ya 1-1. Kocha...

Nyota watatu Simba OUT Arusha

African Lyon leo itakuwa mwenyeji kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abei Arusha kucheza na Simba mechi ya ligi kuu Tanzania bara mchezo utakaochezwa kuanzia...

Azam kwenye mtego mwingine Tanga

Uwanja wa Mkwakwani Tanga leo Wagosi Wakaya Coastal Union watacheza na Azam FC mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Kocha msaidizi wa Azam Juma Mwambusi...

“Nipo tayari kufundisha Yanga bure”-Zahera

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amesema, fedha ambazo anazitumia kwa ajili ya klabu ya Yanga hatarajii kurudishiwa pia yupo tayari kufanya kazi bila malipo. "Mimi...

Joh Makini amempa jina jipya Lukaku ‘Makaptura’

Joh Makini amempa jina jipya mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku, wakati Dauda TV inafanya mahojioano na mkali huyo toka kundi la WEUSI alisema...

Nikki alivyomshawishi Baby Mama kujiunga Man United

Nikki Wapili anasema kuna watu wa Chelsea huwa wanamzingua sana siku Manchester United ikipasuka. G Nako ni miongoni mwa watu ambao huifanya simu ya...

Ulimwengu kafanya yake huko Algeria

Thomas Ulimwengu jana aliifungia JS Saoura kwenye mchezo wa ligi ya Algeria (League 1) na kuisaidia kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya DRB...

Shabiki wa Yanga aliye-bet mke amwaga machozi hadharani

Jamaa anaitwa Jimmy aliahdi kukaa uchi Kariakoo huku pia akiwa kaweka ahadi mkewake achukuliwe na shabiki wa Simba endapo Yanga itafungwa. Yanga imepasuka 1-0 mbele...

Tathmini ya mchezo wa watani

Bao la dakika ya 71 la Meddie Kagere, limetosha kuwatenganisha watani wa jadi wa Dar Es Salaam katika mchezo wao wa 102 wa ligi,...

Mabaunsa Simba washikana mashati na waandishi

Zogo limeibuka kati ya waandishi wa habari na mabaunsa wa Simba. Wachezaji wa Simba walitumia mlango unaotumiwa na waandishi wa habari halafu wakawazuia waandishi...
473,641FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow