EPL

Home Ligi EPL

Joh Makini amempa jina jipya Lukaku ‘Makaptura’

Joh Makini amempa jina jipya mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku, wakati Dauda TV inafanya mahojioano na mkali huyo toka kundi la WEUSI alisema...

Nikki alivyomshawishi Baby Mama kujiunga Man United

Nikki Wapili anasema kuna watu wa Chelsea huwa wanamzingua sana siku Manchester United ikipasuka. G Nako ni miongoni mwa watu ambao huifanya simu ya...

Historia fupi ya klabu ya Yanga

Klabu ya Yanga ni moja ya vilabu vikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Ina mafanikio nje na ndani ya Tanzania. Siku...

Adui muombee njaa, binadamu sio watu!

Mashabiki wa Everton FC ya England, wakishangilia moja ya mabao yaliyofungwa na Manchester City dhidi ya timu yao, hapo jana usiku. Ushindi wa Man City...

“Mourinho amechangia mimi kuumwa”-Ommy Dimpoz

Mkali wa BongoFleva Ommy Dimpoz amerudi bada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu. Amerejea na ngoma kali #NiWewe ambayo anamshukuru Mungu mwa kuendelea...

Je Emiliano Sala na rubani Wapo hai?

Mambo bado yanaizid kuwa magumu kuhusiana na jibu la moja kwa moja kama Emiliano na rubani wake wapo hai ama lah. Inauma sana na...

Shabiki wa Chelsea asusa kuangalia mechi hadi Sarri atakapofukuzwa

Mwandishi wa habari za michezo Tanzania, Abdul Mkeyenge ambaye pia ni shabiki wa Chelsea ametoa maoni yake kuhusu mwenendo wa The Blues kwenye ligi...

London Derby: Arsenal vs Chelsea

Arsenal Vs Chelsea, mchezo huu utapigwa katika dimba la Fly Emirates, majira ya saa 20:30 usiku. Mara ya kwanza Chelsea 2–1 Arsenal 1907–08 Football League (9 Nov 1907) Mechi...

Kwa heri Petr Cech GLOVES zako zitaendelea kukumbukwa Darajani

Wakati zilipovuja taarifa za golikipa wa Jamhuri ya Czech ambaye alikuwa asajiliwe na klabu ya Manchester United atakwenda Chelsea kwa sababu mtu ambaye alikuwa...

Asante David De Gea kwa utamu huu!!

Katika ukurasa wake wa tweeter mwanaume mmoja mabaye wengi walidhani ndiye aliyewahi kuvaa gloves bora kwenye kikosi na historia ya Manchester United alikuwa ameweka...

Makambo atuliza PRESHA Yanga

Afisa habari wa Yanga Dismas Ten ametoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimhusisha mshambuliaji wao Heritier Makanbo kutoweka Yanga. "Makambo alisafiri...

Unai atamuua Ozil kwa mwendo huu

Mezut Ozil, anapiga pasi kulia anapokea maelekezo kushoto. Ozil ni mmoja kati ya viungo namba 10 bora duniani. Anacheza taratibu sana utadhani kinyonga, lakini...

Sio Van Djik pekee yake, tusiwe wachoyo

Nimeona mara kadhaa walio wengi wanamsifu sana Van Djik kuwa amekuwa mchezaji wa muhimu zaidi kwenye kikosi cha Liverpool. Bila shaka. Hakuna ubishi kuwa...

Klopp dokta mwenye gundu, anayejaribu kutibu mikosi ya Liver

Liverpool mabingwa wa kufeli. Samahani kwa lugha isiyo rafiki kwao. Mara kadhaa Liverpool wamekuwa na msimu mzuri lakini mzimu wa kushindwa kumaliza mbio salama...

Macho yote kwa Ole Gunnar leo

Moja ya rekodi wanazoshikilia Man United ni kutokufungwa katika mechi walizocheza uwanja wa nyumbani Siku ya Boxing day ilikuwa mwaka 1978-1979. Mchezo huo walipigwa...

Solskjaer ni chaguo sahihi Man United

Manchester United ilikuwa imeachana na utamaduni wake, tangu Sir Alex Ferguson ameondoka walijaribu walikuwa wanajaribu kupata mtu ambaye atakuja kuindesha na kuijenga United katika...

“Mourinho mmoja sura tofauti”-Shaffih Dauda

Mourinho wa mwanzoni mwa miaka ya 2000, Mourinho wa Inter na Real Madrid na Mourinho aliyerudi Chelsea kwa mara ya pili na baadaye Manchester...

Yaliyomkuta Mourinho amejitakia mwenyewe

Maisha yanabadilika mazingira mpaka tabia, nchi zimebadili mengi na sasa tabia maisha zimeibuka, kasi ya mabadiliko imekuwa kubwa na hakuna tena anayetaka kuishi kwenye...

Shaffih Dauda, Geoff Lea wapishana kuhusu Pogba wa Mourinho

Ukiachana na Mourinho kupigwa chini mjadala mwingine ulioibuka kitaa ni kwamba kuna wachezaji walikuwa wanamchomesha Mourinho ili atimuliwe, Pogba anatajwa kuwa aliongoza mapambano kuhakikisha...

Nikkiwapili apigilia msumari Mourinho kutimuliwa Man United

Yamezungumzwa mengi sana kwenye mitandao ya kijamii, vijiweni na sehemu nyingine nyingi kuhusu Mourinho kupigwa chini na Manchester United. Nikkwapili ni shabiki 'lialia' wa Man...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow