NYINGINE

Home Ligi NYINGINE

Makamba anaamini Simba itetea ubingwa, atoa ushauri kwa viongozi

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba ambaye pia ni mwanachama wa Simba itatetea ubingwa wake msimu huu...

Waamuzi 18 wapigwa pini Nigeria

Chama cha waamuzi nchini Nigeria 'The Nigeria Referees Association' (NRA) kimewasimamisha waamuzi 18 kusimamia mechi za ligi ya Nigeria Nigeria Professional Football League (NPFL)...

Mali yashinda ubingwa wa Afrika U20

Timu ya taifa ya vijana ya Mali chini ya miaka 20 imeshinda ubingwa wa Afrika baada ya kuifunga Senegal kwa changamoto ya mikwaju ya...

Msuva aiokoa timu yake nyumbani

Simon Msuva jana ameiokoa klabu yake Difaa El Jadida kuchezea kichapo dhidi ya RSB Berkane kwenye uwanja wa nyumbani baada ya kuisawazishia bao kwenye...

Yanga wanakula hizo…

Kuelekea mechi ya #WataniWaJadi shabiki wa kihindi wa Simba anasema Yanga wanakula 4 leo. Angalia video #YouTube kupitia #DaudaTV bofya PLAYâ–¶kuangalia video mwanzo mwisho hapa...

“Nahisi kutapika nikisikia KWA MCHINA”-Mwakyembe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe amepiga vita uwanja wa taifa kuitwa KWA MCHINA kama ambavyo imeanza kuzoeleka siku za...

Mwakyembe azindua nembo ya AFCON U17

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, leo Alhamis Februari 14,2019 amezindua nembo maalum ya fainali za Afrika kwa vijana chini...

Baada ya Simba kumpiga Al Ahly, kocha wa Yanga kaongea

Kufatia ushindi wa jana wa Simba (1-0) dhidi ya Al Ahly uwanja wa Taifa, kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amesema timu zote kwenye kundi...

Simba, Al Ahly, zaigawa Sports Xtra

Kipindi cha Sports Xtra cha Clouds FM kiligawanyika jana usiku wakati wachambuzi wakijadili ni mbinu gani hasa ambayo kocha wa Simba anapaswa kuingia nayo...

Castle Lager yawafungulia bonge la fursa wachezaji Bongo

Mashindano ya Castle Lager 5 msimu wa pili yamezinduliwa rasmi leo Afrika Kusini katika jiji la Johannesburg ambayo ni mashindano ya mpira wa miguu...

Wambura ashikiliwa TAKUKURU

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). "Ni kweli yupo tumemshikilia hapa TAKUKURU Dar...

Wataalam toka Ujerumani wamekuja kusaidia soka la vijana Tanzania

Kituo cha Magnet Youth Sports Organization kwa kushirikiana na Chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) wanaendelea na semina ya wiki moja...

Rabbin Sanga akamilisha majaribio, aagwa Uturuki

Rabbin Sanga amekamilisha majaribio yake hii leo katika Academy ya Besiktas ikiwa ametumia siku 5 badala ya 10 zilizotajwa awali kutokana na uwezo aliouonesha...

Samatta azidi kupaa ufungaji bora Ubelgiji

Mbwana Samatta anaendelea kukifukuzia kiatu cha ufungaji bora wa ligi ya Ubelgiji (Jupiler Pro League) baada ya usiku wa Ijumaa February 8, 2019 kupachika...

Alichozungumza Mo mbele ya waandishi wa habari

Mwekezaji wa Simba Mohammed Dewji leo amekutana na waandishi wa habari kuzungumza mambo mbalimbali yanayoihusu klabu hiyo ikiwa ni pamoja na mchezo wa ligi...

Waziri Mkuu anataka taji la AFCON U17 libaki nyumbani

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliangiza hirikisho la soka nchini TFF lihakikishe Tanzania inaibuka na ushindi katika fainali za Afrika kwa vijana wenye umri chini...

Rabbi Sanga aitwa Serengeti Boys

Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Ammy Ninje amesema amevutiwa na kiwango kilichooneshwa na nyota wa Ndondo Cup Academy Rabbin Sanga...

Kinda la Ndondo lilivyoagwa kabla ya kwenda Uturuki

Mchezaji Rabbin Sanga wa kituo cha Bombom Youth aliagwa January 31, 2019 kabla ya kwenda kufanya majaribio ya siku 10 kwenye klabu ya Besiktas...

TFF kupokea mabilioni ya FIFA

Katika hotuba ya Rais wa TFF Wallace Karia kwenye Mkutano Mkuu wa TFF 2019, amesema FIFA imetengua zuio la gawio la fedha kwa TFF...

Wajumbe wapya TFF wala kiapo

Mkutano mkuu wa mwaka wa TFF ambao umefanyika February 2, 2019 jijini Arusha ni mkutano wa kwanza wa Karia tangu aingie madarakani. Mkutano huo ulikuwa...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow