Sports Extra

Home Sports Extra
Habari kutoka kipindi cha Sports Extra

Mishara ya wachezaji gumzo Cameroon

Inaelezwa zaidi ya asilimia 70 ya vilabu kwenye madaraja ya ligi mbili za juu nchini Cameroon havijalipa mishahara wachezaji wake kwa zaidi ya miezi...

Uchaguzi Yanga palepale

Mipango ya uchaguzi wa kuziba nafasi ndaninyabYanga inaendelea kama kawaida ambapo uongozi wa klabunl hiyo umetaja majina ya baadhi ya wajumbe wa kamati ya...

Singida United yaomba kubadilishiwa uwanja

Singida United imethibitisha kuomba mechi yao ya Azam Sports Federation Cup ambayo itachezwa mwishoni mwa wiki hii dhidi ya Coastal Union uchezwe kwenye uwanja...

Makamba atoa darasa Bodi ya Ligi

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba ambaye pia ni mwanachama wa Simba amesema kwa sasa ligi yetu...

Rekodi ya Mbao inaitesa Yanga Mwanza

Yanga leo inaingia uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kujaribu kufuta rekodi mbaya ya kuchapwa mechi zote na Mbao FC kwenye uwanja huo. Kwa ufupi...

Ni #MbeyaDerby Mbeya City vs Prisons

Ebwana leo jijini Mbeya kutakuwa na #MbeyDerby (Mbeya City vs Tanzania Prisons) mechi kama kawaida itachezwa uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine. Miaka kadhaa iliyopita derby...

Waamuzi 18 wapigwa pini Nigeria

Chama cha waamuzi nchini Nigeria 'The Nigeria Referees Association' (NRA) kimewasimamisha waamuzi 18 kusimamia mechi za ligi ya Nigeria Nigeria Professional Football League (NPFL)...

“Nipo tayari kufundisha Yanga bure”-Zahera

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amesema, fedha ambazo anazitumia kwa ajili ya klabu ya Yanga hatarajii kurudishiwa pia yupo tayari kufanya kazi bila malipo. "Mimi...

Eneo gani uwanjani litaamua mechi ya watani wa jadi?

Shaffih Dauda Naiona mechi ikiamuliwa katikati ya uwanja (eneo la midfield) Simba ni timu inayicheza mpira kuanzia nyuma wanapiga pasi na kutawala eneo la katikati. Changamoto...

Geoff Lea anaiangalia Yanga kwa jicho la tatu

Ni vigumu sana kwa mtu anayeangalia mpira na kuufuatilia halafu haendeshwi na hisia anaweza kuipa kuipa nafasi kubwa Yanga kushinda mechi dhidi ya Simba...

Eto’o agoma kustaafu soka

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Samuel Eto'o amenukuliwa na mtandao wa BBC akisema, ataendelea kucheza na hana wazo la kustaafu...

Simba ilistahili ushindi vs Al Ahly

Mchezo wa Simba vs Ahly ulifatiliwa karibu na wapenda soka wa bara zima la Afrika kutokana na ukubwa wa Al Ahly. Unapoitaja Ahly ni...

Simba, Al Ahly, zaigawa Sports Xtra

Kipindi cha Sports Xtra cha Clouds FM kiligawanyika jana usiku wakati wachambuzi wakijadili ni mbinu gani hasa ambayo kocha wa Simba anapaswa kuingia nayo...

Castle Lager yawafungulia bonge la fursa wachezaji Bongo

Mashindano ya Castle Lager 5 msimu wa pili yamezinduliwa rasmi leo Afrika Kusini katika jiji la Johannesburg ambayo ni mashindano ya mpira wa miguu...

Wataalam toka Ujerumani wamekuja kusaidia soka la vijana Tanzania

Kituo cha Magnet Youth Sports Organization kwa kushirikiana na Chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) wanaendelea na semina ya wiki moja...

Makambo OUT JKT Tanzania vs Yanga

Kuelekea mchezo wa ligi kuu Tanzania bara JKT Tanzania vs Yanga kwenye uwanja wa Mkwakwani Tanga, Yanga itamkosa mshambuliaji wake Heritier Makambo ambaye atakuwa...

Mambo 5 aliyozungumza Ndayiragije, awapa tuzo mashabiki

KMC inawaalika Alliance FC kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaochezwa uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huo, kocha mkuu wa KMC...

KISA yamaliza utata wa Gustapha Saimon wa Yanga

Mohammed Chiwanga Mkurugenzi wa kituo cha KISA ambapo mchezaji Gustapha Saimon alikuwa akilelewa amesema, mchezaji huyo anatumiwa kihalali na Yanga na taratibu zote zilifuatwa. Klabu...

Ufafanuzi wa Yanga kuhusu mchezaji Gustapha Saimon

Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Samuel Lukumay amefafanua uhalali wa Yanga kumtumia mchezaji Gustapha Saimon ambaye analalamikiwa na Singida United kwamba ni mchezaji wa Dar...

Dar City yamkomalia mchezaji Yanga

Mchezaji Gustapha Saimon Lunkombi ambaye usajili wake umezua utata baada ya kuitumikia Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Singida United,...
473,641FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow