Uncategorized

Home Uncategorized

Moto mkali watetekeza maisha ya chipukizi wa klabu ya Flamengo

Moto uliozuka katika uwanja wa mazoezi karibia na kambi ya vijana wa klabu ya Flamengo umeua watu kumi. Kambi hiyo ya kulelea vijana wadogo maarufu...

Neymar kuikabili Man United?

Kocha mkuu wa PSG Thomas Tuchel amesema majeraha ya Neymar ni makubwa mno kurudi mapema. Ameongeza kuwa haoni uwezekano wa Neymar kurudi mapema kabla ya...

Pienaar asifia Simba

Cameroon imemteu Djeumfa kuwa kocha mkuu wa Cameroon na kuchukua nafasi ya Ndoko. Kocha huyo Alain ataisaidia timu ya taifa ya Cameroon ya wanawake katika...

Mo Salah amuombea Aboutrika msamaha kwa Raisi

☰Egypt Mohamed Salah amemuombea msamaha Aboutrika kwa raisi akiomba aruhusiwe kuingia tena nchini huko. Nyota huyo wa Egypt na Liverpool amemuomba raisi Abdel Fattah Al-Sisi kumruhusu...

Misri kutengeneza kituo maalum kwa ajili ya kumpa heshima Mo Salah

Taarifa kutoka Misri zinadai kuwa serikali ya nchi hiyo ipo kwenye mchakato wa kutengeneza sehemu maalum kwa ajili ya kumbukumbu ya Mohamed Salah. Serikali inatarajia...

Lord Jesse Lingard aliwahi kupigwa na Fergie

Jana Lingard aliwafanya vibaya sana Arsenal FC baada ya kuwapiga bao lake la 3 dhidi yao. Lingard amebadilika kwa kiasi kikubwa sana. Wengi tumekuwa tumedharau...

Opresheni ya kumsaka sala yafika tamati, picha zilizoonesha eneo linalodhaniwa walifikia

"Ni ngumu sana kumpata mtu akiwa hai kwa sasa. Uwezekano kwa sasa ni mdogo sana. Tumeshazunguka karibia kila eneo ambalo ni karibu na maeneo...

Odoi kugomea mshahara mpya Chelsea

Kinda wa Chelsea Collum Hudson-Odoi anatarajia kukataa ofa ya mshahara wa £85,000 ili abakie klabuni hapo. Odoi inasemekana anataka kujiunga na miamba wa Ujerumani...

Simba walizidiwa wapi?

Napenda kuwapa Hongera As Vita ya nchini Congo, kwa kutumia uwanja wake wa nyumbani kupata ushindi dhidi ya muwakilishi wetu peke kutoka nchini Tanzania...

Guardiola mtoto aliyezaliwa na meno

Jana ilikiwa siku yako muhimu na kwa kufanikiwa kuongeza mwaka mwengine kwa Pep. Pep hilii sio geni sana masikioni mwa wapenda soka na machoni mwawatu...

Mwandishi aliyevumbua skendo ya rushwa kwa raisi wa soka auawa kikatili

Vita ya rushwa mara nyingi inahataraisha sana uhai wa waandishi endapo tu mkono wa mwanasiasa utakunjuliwa kwa maslahi binafsi. Ghana imeingia kwenye sura mpya baada...

Gor Mahia na Lobi Star wakumbana na rungu la CAF

Vilabu vya Gor Mahia kutoka Kenya na Lobi Stars kutoka nchini Nigeria vimepigwa faini ya Sh1 million na Sh1.5million na (Caf) kutokana na vitendo...

Chelsea mbioni kunasa mshambuliaji

"Mchezaji anapotaka kuondoka ni ngumu kumshawishi sana kubaki" Gattuso akimuongelea Taarifa zinasema kuwa Higuain amekwisha malizana na Chelsea muda wowote atajiunga na miamba hiyo...

Underdog watafunwa kwenye Derby ya Watanzania

Kule nchini Kenya leo kulichezeka Derby ya watanzania wawili, Aman Kyata (Nakumatt FC/Mt Kenya United) dhidi ya Hamis Abdala wa Bandari FC. Mchezo umekwisha kwa...

Taarifa kuelekea mchezo wa United vs Newcastle

Newcastle Vs Manchester United, mchezo huu utapigwa majira ya saa 23:00 usiku katika dimba la St.James park. Newcastle, walimfunga Manchester United, bao...

Chelsea yatupilia mbali ofa ya Bayern, Vardy aweka rekodi

Klabu ya Chelsea imekataa ofa ya Paundi milion 20 kutoka kwa klabu ya Bayern Munich kumsajili kinda wao Callum Hudson Odoi. Chelsea wamesema kuwa kinda...

Isco anakwenda Chelsea, Rabiot kutimka PSG, Icard mshahara mdogo

Klabu ya Chelsea, ipo kwenye vita ya kumwania kiungo wa klabu ya Real Madrid, Isco. Nyota huyo pia anawaniwa n timu kama Arsenal, Manchester...

Historia ya Liverpool vs United

Huu ni upinzani mkubwa wa majiji, Jiji la Liverpool na Jiji la Manchester. Upinzani wao ni mkubwa sana tokea 28 April 1894 1893–94 Kwenye...

Huyu Chama na Aussems wanatupatia somo

Na Robert KombaTumeshuhudia soka la kiwango kikubwa toka kwa Simba sports club ikicheza na Mbababe Swallows ugenini huko nchini Eswati (Swaziland). Zaidi ya matokeo...

Unai alimpiga bao Potchettino kwenye hili

Baada ya mechi ya Arsenal na Tottenham, kumalizika jana, nilitaka kusikia nini ambacho kocha wa Tottenham Mauricio Potchettino atasema. Potchettino alisema, " Kilichochangia timu...
473,641FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow