VPL

Home VPL

Karia awashamoto Tanga

Mkutano wa 5 wa bodi ya ligi umefanyika jana na kufunguliwa na Rais wa TFF Wallace Karia. Mkutano huo ulikuwa na agenda mbiki 1....

Maeneo matatu yatakayoamua ushindi hii leo Uganda vs Stars

Na Zaka Zakazi Okwi vs Banda Kukosekana kwa Kelvin Yondani kunamfanya Abdi Banda kuwa beki wa kati aliyedumu mfululizo zaidi kikosini. Kocha Amunikie anapaswa kumtegemea beki huyo...

Ukweli kuhusu Manyika Jr kuvunja mkataba Singida United huu hapa

Kumekuwa na taarifa kwamba klabu ya Singida United imevunja mkataba na golikipa Peter Manyika Jr kwa sababu haijamlipa mishahara ya miezi kadhaa. Mkurugenzi wa klabu...

Kutoka kwenye kuuota “usoja” hadi sasa anaiota EPL, Samatta na ndoto zake

Kama ulikuwa hujui hii ndio fursa ya wewe kujua, nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta kupitia post yake kwenye mtandao wa Instagram amefunguka...

Mtazamo wa Shaffih Dauda kuhusu ligi kukosa mdhamini na nini kifanyike

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limekiri kwamba hadi sasa haijulikani bingwa wa ligi kuu Tanzania bara atapata zawadi gani baada ya aliyekuwa...

Redemptus Caesar, Shaffih Dauda waongoza Fursa 2018.

Wiki hii mimi kama mkuu wa vipindi Clouds FM, pamoja na mkuu wa ubunifu wa Clouds Fm Redemptus Caesar tulipatana nafasi ya kuongoza semina...

Exclusive: Rage anakumbuka nini kuhusu Mbuyu Twite alivyomtosa na kwenda Yanga?

Katika vitu ambavyo Yanga walifanikiwa kuacha pigo kwa Simba miaka ya karibuni ni kuwa-overtake kwenye usajili wa Mbuyu Twite. Ismail Aden Rage anakiri alimwaga machozi...

Rage afunguka kuhusu sakata la wachezaji wa Simba kuondolewa Stars

Mjadala mkubwa kwa sasa kwenye michezo ni issue ya wachezaji wa Simba na Yanga kuondolewa kwenye timu ya taifa (Taifa Stars) na kocha mkuu...

Mbao Fc waahidi kutembeza kichapo kwa Singida United hapo kesho

Na Tima Sikilo KOCHA mkuu wa Mbao FC, Amri Saidi, amewatambia wapinzani wake Singida United kuwa ni lazima waondoke na pointi tatu za mchezo wao...

Sio tu Afrika Mashariki bali hata Kusini pia Simba ndio baba lao Instagram

"This is Simba" hiyo ni sauti ya Haji Manara msemaji wa Simba ambayo asubuhi ya leo ilinilazimisha kujaribu kuangalia upande wa pili wa ukubwa...

Kocha wa Yanga kwenda kwao Congo baada ya kuivaa Rayon

Na Tima Sikilo KOCHA mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera 'Papaa', anatarajia kuelekea nchini kwao Septemba 2 kwa ajili ya kuungana na timu ya Taifa ya...

“Ajib ana dhahabu miguuni mwake ila hajui”-Zahera Mwinyi

Na Tima Sikilo KOCHA Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera 'Papaa', amesema Ibrahim Ajibu ni mchezaji mwenye dhahabu miguuni mwake lakini bado hajalijua hilo. Papaa amesema ameamua...

Baada ya ushindi mwembamba Manara awatolea povu wanasimba, “Uturuki hatukwenda jifunza mpira, tulieni”

Mpira bwana una raha zake na mashabiki wa soka wanaufanya mpira uwe kati ya mchezo mtamu sana ulimwenguni, malalamiko pamoja na vioja vyao ndio...

Sababu ya Emmanuel Okwi kusugua benchi yatajwa

Simba wamefanikiwa kuianza ligi kuu msimu huu kwa kishindo baada ya kuicgapa timu ya Prisons ya jijini Mbeya kwa bao 1 kwa nunge bao...

Dilunga na mikwara kama yote kuelekea mtanange wao vs Prisons hii leo

Na Tima Sikilo KIUNGO wa timu ya Simba Hassan Dilunga, ametamba kuendelea kufanya vizuri leo katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

Haji Manara athibitisha Chama na Dida kuikosa Prisons kesho, Emmanuel Okwi naye …

Pazia la ligi kuu nchini Tanzania linatarajiwa kufunguliwa hapo kesho ambapo mabingwa watetezi klabu ya Simba Sc itakuwa uwanjani jijini Dar Es Laam kuikabili...

Kocha mpya atangaza kikosi cha Taifa Stars

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Emanuel Amunike ametangaza majina ya wachezaji 25 ambao wataingia kambini Jumatatu August 27 kujiandaa na...

Shaffih Dauda kuelekea msimu mpya wa ligi kuu Tanzania

Ligi kuu Tanzania bara inataraji kuanza hapo kesho, mambo mengi yametokea hapa katikati lakini kabla filimbi ya kuanza igi yetu kuanza nimeona ni bora...

Amri Kiemba aipa ubingwa wa ligi kuu Tanzania timu hii

Wakati ligi kuu Tanzania bara ikitarajia kuanza Jumatano hii baada ya pazia lake kufunguliwa rasmi siku ya Jumamosi iliyopita kwa mchezo wa Ngao ya...

Kutoka “Wamchangani” hadi “Kimataifa”, wazungu waipigia saluti Simba

Zamani wakati Simba ikiwa haishiriki michezo ya kimataifa walikuwa wakiitwa "Wamchangani" lakini sasa klabu hiyo imeanza kutambulika kama "Wakimataifa". Katika kudhihirisha hilo baadhi ya wazungu...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow