Home Dauda TV Chirwa anaitaka Yanga ‘Orijino’

Chirwa anaitaka Yanga ‘Orijino’

6225
0

#MapinduziCup2019 Obrey Chirwa baada ya kuifunga Yanga magoli mawili kwenye mchezo wa Kundi A la Mapinduzi Cup, amesema hawezi kushangilia sana kwa sababu amefunga dhidi ya Yanga ya vijana, yeye anaitaka Yanga iliyotimia au Simba ili ajipime uwezo wake.

“Siwezi kushangilia kuifunga Yanga hii, ni Yanga lakini ni ya vijana. Nataka kukutana na Yanga yenyewe (kikosi kamili) au Simba ili nijipime uwezo wangu kama uko sawa au hauko sawa”-Obrey Chirwa.

“Yanga nimeichezea kwa miaka miwili, mpira ni maslahi kama Mungu akipenda naweza kurudi tena Yanga, kwenda Simba au kutoka nje.”

Full video tayari ipo #YouTube kupitia #DaudaTV Chirwa amefunguka mambo kibao ikiwa ni pamoja na timu yenye nafasi ya kushinda ubingwa wa #LigiKuuTanzaniaBara.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here