Home Dauda TV Edgar Kibwana aitabiria makubwa Simba Afrika

Edgar Kibwana aitabiria makubwa Simba Afrika

2914
0

Mchambuzi wa michezo Edgar Kibwana anaipa nafasi Simba ya kufanya vizuri kwenye ligi ya mabingwa Afrika baada ya ushindi wao wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura Jumamosi iliyopita.

“Mwanzo mzuri kwa Simba lakini bado wanahitaji kuwekeza nguvu kwa sababu wanahitaji kupata matokeo katika mechi zinazokuja za nyumbani, bado wana mechi mbili nyumbani (Simba vs Al Ahly, Simba vs AS Vita)”-🗣Edgar Kibwana.

Kuangalia uchambuzi wa Edgar Kibwana tembelea #YouTube channel yangu #DaudaTV

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here