Home Dauda TV Exclusive: Rage anakumbuka nini kuhusu Mbuyu Twite alivyomtosa na kwenda Yanga?

Exclusive: Rage anakumbuka nini kuhusu Mbuyu Twite alivyomtosa na kwenda Yanga?

10769
0

Katika vitu ambavyo Yanga walifanikiwa kuacha pigo kwa Simba miaka ya karibuni ni kuwa-overtake kwenye usajili wa Mbuyu Twite.

Ismail Aden Rage anakiri alimwaga machozi baada ya Mbuyu Twite kutua Bongo akitokea Rwanda akiwa amevaa jezi ya Yanga mgongoni imeandikwa RAGE.

Rage hataki kabisa kusikia habari za Twite, “Sijawahi kuwasiliana tena na Twite na hata nikikutana nae hata simkumbuki.” Akikutana nae leo atafanya nini?

Full interview tayari nimeiweka Dauda TV unaweza kuiangalia ujue mengi kuhusu usajili wa Mbuyu Twite.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here