Home Kimataifa Habari mbalimbali kwa ufupi

Habari mbalimbali kwa ufupi

9265
0

Goli kipa wa klabu ya Liverpool, Simon Mignloet, anatarajia kumakamilisha uhamisho wa kujiunga na klabu ya Napoli ndani ya wiki hii.

Team zenye makombe mengi ndan ya Karne hii ya 21:

1. Leo Messi 33
2. Bayern Munich 30
3. Real Madrid 26
4. Man Utd 25
5. Juventus 18

πŸ‘‘ King Messi πŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ

Klabu ya Celtic haitashiriki hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Ulaya msimu huu baada ya kutolewa na AEK Athens, kwa kufungwa mabao 2-1, jana usiku

Klabu ya Roma imekamilisha usajili Wa Nzonzi na amesaini mkataba Wa miaka minne

Beki wa Klabu ya Leicester Harry Maguire, anakaribia kusaini mkataba mpya.

Maguire, mwenye umri wa miaka 25, alikuwa analipwa na Leicester mshahara wa paundi 45,000 kwa wiki, lakin Leicester wanataka kuongeza mpaka paundi 75,000 kwa wiki ili kumshawishi mlinzi huyo aendelee kubaki.

Kocha wa klabu ya Inter Milan, Luciano Spalletti, amesaini mkataba mpya na klabu ya Inter Milan, utakaomfanya abaki hapo mpaka mwaka 2021.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here