Home Dauda TV Hivi uliona VIBE la Zitto Kabwe baada ya goli la Okwi?

Hivi uliona VIBE la Zitto Kabwe baada ya goli la Okwi?

2427
0

Wakati wa half time kwenye mchezo wa  Simba vs Saoura shabiki mkubwa wa Simba Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe alitabiri Mnyama anaibuka na ushindi wa bao 3, wakati huo Simba ilikuwa inaongoza 1-0.

Full time Simba 3-0 Saoura, Zitto Kabwe nimekuinulia mikono juu!!👐

Angalia #YouTube kupitia #DaudaTV uone vibe la Zitto baada ya Okwi kuifungia Simba goli la kuongoza.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here