Home Dauda TV Jionee Haji Manara alivyowakera mashabiki wa Yanga baada ya Simba kuibuka kidedea...

Jionee Haji Manara alivyowakera mashabiki wa Yanga baada ya Simba kuibuka kidedea hapo jana no

11393
0

Wanasema kwenye msafara wa Mamba pia Kenge hawakosekani na ndivyo ilivyokuqa jana wakati wa mchezo kati ya Simba na Mtibwa pale Ccm Kirumba.

Kikundi kikubwa cha mashabiki waliovalia jezi za njano na kijani walikuwepo kuizomea Simba katika fainali hiyo lakini baada ya filimbi ya mwisho Haji Manara aliamua kuwakera kwa kufurahia ushindi mbele yao.

Jionee hapa hali ilivyokuwa

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here