Home Kimataifa Klabu ya Himid Mao yatoshana nguvu na HARAS EL HODOOD

Klabu ya Himid Mao yatoshana nguvu na HARAS EL HODOOD

8149
0
Leo klabu ya Himid mao ilishuka dimbani kumenyana na HARAS EL HODOOD katika uwanja wao Mubarak International Stadium (Suez). Mchezo huo umemalizika kwa klabu hizo kwenye sare tasa ya mabao 0-0. Awali ya hapo Peteojet walikutana na klabu kongwe kabisa Zamalek na kutoka suluhu.

Kuna taarifa pia zinadai baada ya kutoka sarw katika mchezo huo raisi wa zamalek Mortada Mansour aliwapiga faini ya takribani 100,000 EGP kutokana na matokeo hayo. 

“Sijawakata fainia kwa sababu walishindwa kuifunga Petrojet, hapana, najua soka ni mchezo mgumu na nafahamu Petrojet sio timu nyepesi, hiyo adhabu ni kutokana na timu kutengeneza nafasi 10 za wazi na wakashindwa kufunga” Alisema raisi huyo. timu rahisi

Himid Mao anaendelea kutamba na kikosi hicho ambacho msimu huu kilisajili wachezaji wakigeni takribani wanne, akiwemo Muethiopia Shimelis Bekele, Omar Najdi wa Morocco, na raia wa Liberia Patrick Wleh,

Petrojet msimu uliopita ilimaliza nafasi ya 12 ikiwa ni alama 11 tu kushuka daraja na mwaka huu wamejiandaa vilivyo kufanya makubwa. 

Takwimu za mchezo huu

MICHEZO YA PETROJET MSIMU HUU

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here