Home Dauda TV Kocha ataka kuitema Yanga kwa mambo ya HOVYO

Kocha ataka kuitema Yanga kwa mambo ya HOVYO

4683
0

Ebwana eeeh kocha wa Yanga kafichua siri nzito…kumbe alitaka kusepa awaachie viongozi timu yao kwa sababu kamati ya usajali haijawasajili wachezaji wanne aliopendekeza katika dirisha dogo!!

Unaambiwa mapenzi yake kwa mashabiki wa Yanga ndio yamembakiza hadi sasa ameendelea kuwepo bila hivyo angeshaachana na timu yao na kurudi kwao.

Zahera amfunguka mambo kibao ambayo ameyaita ya ‘HOVYO’ angalia full video tayari ipo #YouTube #DaudaTV.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here