Home Dauda TV Kocha wao anasema hajui tar 16 anakutana na nani, taarifa iwafikie…

Kocha wao anasema hajui tar 16 anakutana na nani, taarifa iwafikie…

4284
0

Baada ya Simba kuitwanga Al Ahly 1-0 uwanja wa taifa kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya makundi, mashabiki wa Simba wametuma salamu zao Yanga kuelekea mchezo wa watani wa jadi February 16, 2019.

Mashabiki wa Simba wanasema: “Kocha wao (Yanga) amesema hajui tarehe 16 anakutana na nani, taarifa iwafikie wanakutana na Simba.”

Hivi karibuni kocha wa Yanga aliulizwa anauzungumziaje mchezo wa watani wa jadi (Yanga vs Simba) utakaochezwa tarehe 16 mwezi huu akasema alikuwa hafaham kama anakutana na Simba.

Angalia full video hapa chini #YouTube kwenye channel yangu ya #DaudaTV bofya PLAY▶kuangalia mwanzo mwisho.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here