Home Kimataifa Kwanini Rooney alikamatwa

Kwanini Rooney alikamatwa

4574
0

Wayne Rooney alikamatwa huko Marekani kwenye uwanja wa ndege baada ya polisi kugundua kuwa alikuwa amelewa.

Msemaji wa Rooney amedai kuwa Rooney alipewa vidonge vya usingizi ambavyo vilichanganywa na pombe.

Wayne Rooney alipofika uwanja wa Dulles alipokuwa akitokea Saudia Arabia Polisi walimkamata na kumshikilia kwa dakika kadhaa.


Fabregas ni moja kati ya viungo bora kuwahi kutoa EnglandJonathan Liew Mkurugenzi wa michezo wa jarida la The Guardian


Rooney alipigwa fine ya Euro 25 pamoja na Dola 91 kwa ajili ya gharama. Baada Rooney aliachiliwa.

Rooney ambaye kwa sasa ana miaka 33 amekwisha ifungia DC united magoli 12 katika michezo 20.

Kwa sasa ligi kuu nchini Marekani ipo mapumziko na inatarajia kuanza mwezi machi na mchezo wa kwanza DC united itacheza dhidi ya Atlanta United.

Hapo awali mwezi sept mwaka 2017 Wayne Rooney pia aliwahi kukamatawa akiwa amelewa akiwa anaendesha ambapo ni kinyume na sheria.


Fabregas ni mchezaji wa kipekee katika ladha ya soka la kiingereza” James Ducker mwandishi nguli wa jarida la Telegraph


KWINGINEKO

Ramos amelaumu sana maamuzi ya mwamuzi aliyechezesha mchezo wao dhidi ya Eibar.

“Kila mara nimekuwa nikisema VAR ni muhimu lakini mfumo huo lazima uchunguzwe sana na uwekwe sawa maana una kasoro nyingi pia” Ramos

“Kuna wakati tumekuwa tunaadhibiwa sana kwa tabia zetu uwanjani nadhani hata hawa wasimamizi wa VAR na marefa wanapaswa kupewa adhabu pia” Ramos


Wayne Rooney 2017 alipigwa marufuku ya kuendesha gari kwa miaka miwili na kufanya kazi za kijamii kwa masaa 100 bila kulipwa na kutoa faini ya £170.


Licha ya Al Ahly kuwapata nyota Ramadhan Sobhi, El shahat na Geraldo, imepata pigo kubwa baada ya fowadi wao hatari Walid Azzarou. Azzarou ameumia na ataukosa mtanage wao dhidi ya Vita.

Hata hivyo nyota wao wa zamani Walid Soliman amerudi kutoka majeruhi. Salah Mohsen na Saad Samir wote pia wamerudi kutoka majeruhi.


Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here