Home Ligi EPL LONDON DABI: Ni Chelsea Vs Arsenal, nani ataibuka mbabe

LONDON DABI: Ni Chelsea Vs Arsenal, nani ataibuka mbabe

8097
0

The London dabi ya 52 kwenye Premier League. Mara ya 26 mwisho kukutana Arsenal ameshinda kwa asilimia 54 (W14 D9 L3), Chelsea ameshinda kwa asilimia 54 per cent of the last 26 (W14 D7 L5).

Kama mshambuliaji wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang atafunga litakuwa bao lake la 150 kwenye ligi kubwa 5 barani ulaya.

Orodha ya wafungaji bora wa LONDON DABI

Didier Drogba Chelsea) has scored eight goals in 12 Premier League games against Arsenal giving him a ratio of 0.66 goals/game
Didier Drogba Chelsea amefunga maba 8 kwenye mechi 12 Premier League dhidi ya Arsenal
Thierry Henry scored eight goals in 12 Premier League games for Arsenal against Chelsea, giving him a ratio of 0.66 goals per game
Thierry Henry amefunga mabao 8 kwenye mechi 12 Premier League dhidi ya Chelsea,
Ian Wright scored seven Premier League goals in 11 games for Arsenal against Chelsea giving him a ratio of 0.58 goals per game
Ian Wright amefunga mabao 7 kwenye mechi 11 dhidi ya Chelsea
Robin van Persie scored five goals in 12 Premier League games for Arsenal against Chelsea giving him a ratio of 0.41 goals per game

Robin van Persie amefunga mabao 5 kwenye mechi 12 Premier League akiwa na Arsenal dhidi ya Chelsea.

Eden Hazard has scored four goals in 12 Premier League games for Chelsea against Arsenal, giving him a ratio of 0.33 goals per game
Eden Hazard amefunga mabao 4 kwenye mechi 12 Premier League Arsenal,
Theo Walcott scored four goals in 16 Premier League games for Arsenal against Chelsea, giving him a ratio of 0.33 goals per game

Theo Walcott amefunga mabao 4 kwenye mechi 16 Premier League dhidi ya Chelsea
Dennis Bergkamp scored four goals in 17 Premier League games for Arsenal against Chelsea, giving him a ratio of 0.23 goals per game

Dennis Bergkamp amefunga mabao 4 kwemye mechi 17 Premier League dhidi ya Chelsea.

Katika uwanja wa Stamford Bridge kwenye Premier League, Chelsea wameifunga Arsenal mara 12 kufungwa mara 7 na kutoka sare mara 7. The Blues wamefunga mabao 40 na, Gunners kufunga 29.

Takwimu za H2H kwa miaka 10 iliyopita

23 Mar 2008 Chelsea v Arsenal 2-1 EPL
30 Nov 2008 Chelsea v Arsenal 1-2 EPL
18 Apr 2009 Arsenal v Chelsea 1-2 FA Cup
10 May 2009 Arsenal v Chelsea 1-4 EPL
29 Nov 2009 Arsenal v Chelsea 0-3 EPL
07 Feb 2010 Chelsea v Arsenal 2-0 EPL
03 Oct 2010 Chelsea v Arsenal 2-0 EPL
27 Dec 2010 Arsenal v Chelsea 3-1 EPL
29 Oct 2011 Chelsea v Arsenal 3-5 EPL
21 Apr 2012 Arsenal v Chelsea 0-0 EPL
29 Sep 2012 Arsenal v Chelsea 1-2 EPL
20 Jan 2013 Chelsea v Arsenal 2-1 EPL
29 Oct 2013 Arsenal v Chelsea 0-2 L. Cup
23 Dec 2013 Arsenal v Chelsea 0-0 EPL
22 Mar 2014 Chelsea v Arsenal 6-0 EPL
05 Oct 2014 Chelsea v Arsenal 2-0 EPL
26 Apr 2015 Arsenal v Chelsea 0-0 EPL
02 Aug 2015 Arsenal v Chelsea 1-0 FA C Shield
19 Sep 2015 Chelsea v Arsenal 2-0 EPL
24 Jan 2016 Arsenal v Chelsea 0-1 EPL
24 Sep 2016 Arsenal v Chelsea 3-0 EPL
04 Feb 2017 Chelsea v Arsenal 3-1 EPL
27 May 2017 Arsenal v Chelsea 2-1 FA Cup
06 Aug 2017 Arsenal v Chelsea 1-1 FA C Shield
17 Sep 2017 Chelsea v Arsenal 0-0 EPL
03 Jan 2018 Arsenal v Chelsea 2-2 EPL
10 Jan 2018 Chelsea v Arsenal 0-0 L. Cup
24 Jan 2018 Arsenal v Chelsea 2-1 L. Cup
18 Aug 2018 Chelsea v Arsenal EPL

The Gunners ushindi wao wa mwisho pale Stamford Bridge kwenye Premier League mwezi October 2011 walipo watwanga 5-3.

Arsenal wameshindwa kabisa kufunga bao katika michezl 4 kati ya t zilizopita pale Stamford Bridge.

Kwenye mchezo Huddersfield, Sarri alikuwa kocha wa 9 mfululizo wa Chelsea kushinda katika michezo ya ufunguzi huku ukiwa ni ushindi wa mabao mengi zaidi tokea Luiz Felipe Scolari.

Chelsea imepoteza mchezo mmlja tu kagi ya michezo 8 iliyopita ya ligi kuu Premier (dhidi ya Newcastle kwenye siku ya mwisho ya msimu uliopita), wameshinda 5 na kutoka sare 2.

Mchezo wao wa mwisho pale St James’ Park ni mchezo pekee kati ya michezo 10 kushindwa kupata bao.

Arenal leo watakuwa na kitendawili cha kujaribu kukwepa kufungwa michezo miwili ya ufunguzi ya ligi tokea mwaka 1992/93.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here