Home Ligi EPL London Derby: Arsenal vs Chelsea

London Derby: Arsenal vs Chelsea

3879
0

Arsenal Vs Chelsea, mchezo huu utapigwa katika dimba la Fly Emirates, majira ya saa 20:30 usiku.

Mara ya kwanza Chelsea 2–1 Arsenal
1907–08 Football League
(9 Nov 1907)
Mechi ya mwisho Chelsea 3–2 Arsenal (EPL)
(18 Aug 2018)

Arsenal, wameshinda mchezo moja kati ya michezo 14 ya ligi kuu England dhidi ya Chelsea, sare 5 amepoteza 8 Arsenal, mara ya mwisho kumfunga Chelsea, katika dimba la Emirates, ilikuwa mwaka 2016, kwa mabao 3-0.


Liverpool, ndo timu peke katika ligi kuu England wamepata clean sheet nyingi (13) msimu huu Chelsea, wanao wana clean sheet (10) arsenal, akiwa na clean sheet (3) na Fulham, ndo timu yenye clean sheet chache zaidi (2).

Takwimu
Magoli 196
Anayeongoza Arsenal ameshinda mara 75
Mfungaji bora Didier Drogba (13)
Historia Arsenal: mara 75
Sare: mara58
Chelsea: mara 63
Kipigo kikubwa Chelsea 6–0 Arsenal
(22 March 2014)

Arsenal, hajapoteza mchezo hata moja kati ya michezo 12 katika ligi kuu dhidi ya timu za mji wa London, katika uwanja wa nyumbani ameshinda mara 19 na amepoteza mara 3 pia ameshinda michezo mitano mfululizo ya mwisho dhidi ya timu za London, mara ya mwisho kupoteza dhidi ya Chelsea, katika uwanja wa nyumbani mwaka 2016.


Arsenal, wamefunga mabao 20 kwenye michezo 7 ya mwisho kwenye ligi kuu dhidi ya timu za mji wa London msimu huu ndo timu iliyofunga mabao mengi zaidi.

Chelsea, wanaangalia uwezekano wa kushinda michezo minne mfululizo kwenye ligi kuu katika viwanja vya ugenini mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa mwaka December, 2016 alishinda michezo sita.

MATAJI

KIMATAIFA Arsenal Chelsea
UEFA Champions League 0 1
UEFA Europa League 0 1
UEFA Cup Winners’ Cup 1 2
UEFA Super Cup 0 1
Inter-Cities Fairs Cup 1 0
MAKOMBE YA NDANI Arsenal Chelsea
First Division / Premier League 13 6
FA Cup 13 8
League Cup 2 5
Full Members’ Cup 2
FA Community Shield 15 4
JUMLA 45 30

Goli kipa wa klabu ya Arsenal Bernad Leno, amepata clean sheet moja katika michezo 15 ya ligi kuu aliyoanza msimu huu huku magoli kipa watatu ambao ni Gavin Ward, Julian Speroni, na John Ruddy, wao wote wamecheza michezo 15 hawajapata clean sheet.

Olivier Giroud, anaweza kuwa mchezaji wa pili kufunga akiwa na timu mbili tofauti kwenye ligi kuu England aliwahi kufanya hivo peke ni Cesc Fabregas, akiwa Arsenal na Chelsea.


Pierre Emerick, amehusika katika upatikanaji wa mabao 20 kwenye michezo 18 ya ligi kuu katika uwanja wa nyumbani mabao 15 na assist 5.

Azizi_Mtambo_15

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here