Home Kimataifa Lovren amesema Liverpool haitafungwa msimu huu, Unai kumuondoa Ozil Arsenal

Lovren amesema Liverpool haitafungwa msimu huu, Unai kumuondoa Ozil Arsenal

4154
0

“Nina matumaini kuwa tunaweza kucheza msimu mzima bila kufungwa. Najua ni changamoto kubwa sana lakini hayo ndio malengo yetu. Tupo Liverpool kwa ajili ya hilo, na sio jambo geni kwa sababu Arsenal waliwahi kufanya hivyo” – Dejan Lovren


Kocha wa Arsena Unai Emery yupo mbioni kumruhusu Mesut Ozil kuondoka na kwenda kitafuta klabu nyingine baada ya kushindwa kwendana na mfumo wake.

Ozil msimu huu
Amecheza mechi 14
Amekosekana mechi 12
Amefunga mabao 4
Ame’assist 2


Kocha mpya wa United Ole Gunnar amemwagia sifa De Gea na kusema anafurahi kwenye kikosi chake ana goli kipa bora duniani


Mpaka sasa Barcelona inahaha kumpata mrithi wa Carlos Puyol


Sané amehusika katika mabao mengi Premier League (9) tokea mwanzo wa mwezi November:

⚽ 4 Magoli
🅰️ 5 assists


PATA KIFURUSHI:

Barcelona, 2009:

• Champions League
• UEFA Super Cup
• Club World Cup
• Copa del Rey
• Supercopa
• LaLiga


Makocha waliotwaa makombe mengi tokea January 2016:

Zidane: 9
Emery: 6
Allegri: 5
Guardiola: 5
Enrique: 4
Mourinho: 3
Ancelotti: 3
Valverde: 3
Simeone: 2
Wenger: 2
Tuchel: 2
Conte: 2

Klopp:0


Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here