Home Kimataifa Luka Modric ndiye mchezaji bora Ulaya. Ronaldo atwaa tuzo ya mshambuliaji bora

Luka Modric ndiye mchezaji bora Ulaya. Ronaldo atwaa tuzo ya mshambuliaji bora

16210
0

Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Croatia Luka Modric amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya akiwapiki Mo Salah pamoja na Cr7.

DATA 17/18
MASHINDANO  Y  YR  D
JUMLA 17/18: 43 2 8 5 3.339′
26 1 6 3 1.976′
11 1 1 2 958′
2 1 180′
2 45′
1 90′
1 90′

UEFA Champions League


Kyle Navas, ametwaa tuzo ya goli kipa bora wa michuano ya uefa msimu wa mwaka 2017/18


Sergio Ramos, ametwaa tuzo ya beki bora kwenye michuano ya uefa msimu wa mwaka 2017/18.


Luka Modric, ametwaa tuzo ya kiungo bora wa mashindano ya uefa msimu wa mwaka 2017/18


Cristiano Ronaldo, ametwaa tuzo ya mshambuliaji bora wa michuano ya Uefa msimu wa mwaka 2017/18

Bechkam pia amepokea tuzo ya heshima kutoka uefa kutokana na mchango wako mkubwa katika soka


Walioshika Nafasi kuanzia ya 4 za mchezaji bora ni

4 Antoine Griezmann (Atlético & France) – 72 alama
5 Lionel Messi (Barcelona & Argentina) – 55 alama
6 Kylian Mbappé (Paris & France) – 43 alama
7 Kevin De Bruyne (Manchester City & Belgium) – 28 alama
8 Raphaël Varane (Real Madrid & France) – 23 alama
9 Eden Hazard (Chelsea & Belgium) – 15 alama
10 Sergio Ramos (Real Madrid & Spain) – 12 alama

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here