Home Kitaifa Makambo atoweka Yanga

Makambo atoweka Yanga

5334
0

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Yanga Heritier Makambo ametoweka katika klabu hiyo bila uongozi kuwa na taarifa yeyote.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo Daboten imezibaini inaeleza kuwa Makambo ametoweka na mabegi yake katika hotel aliyokuwa akiishi bila taarifa rasmi huku simu yake ikiwa haipatikani hewani.

Source: Daboten

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here