Home Ligi EPL Mambo 7 ya kutazamia wikiendi hii ndani ya EPL, Mourinho kwenye mtihani

Mambo 7 ya kutazamia wikiendi hii ndani ya EPL, Mourinho kwenye mtihani

7930
0

 


Premier League kesho kipute kinaendelea tena.


1) Iheanacho anatarajia kuwashangaza Liverpool

Licha ya kutokuruhusu bao lolote au kupoteza alama hata moja Liverpool wikiendi hii watakuwa na kibarua kingine West Ham walipoteza mchezo wa kwanza lakini michezo. Leicester walipoteza huduma za mshambuliaji wao Jamie Vardy dhidi ya Southampton na Kelechi Iheanacho amechukua nafasi yake. Kelechi atakumbana na wakayi mgumu sana mbele ya Virgil van Dijk na Joe Gomez. Kelechi amekuwa na msimu wa kusua sua sana na hii ni karata yake nyingine kurudisha imani kwa mashabiki wake

2) Wolves vitani dhidi ya West Ham kwenye safu ya kiungo

West Ham chini ya  Manuel Pellegrini watawapokea Wolves ndani ya London Stadium on Saturday afternoon. Wolves wamepata alama mbili tu katika michezo yake mitatu. Walifanikiwa kupata sarw dhidi ya Manchester City, huku viungo wao  Ruben Neves na Joao Moutinho wakitarajia kusambaratisha matumaini ya Pellegrini kupata ushindi. Jack Wilshere wenyewe wakimuita Andrea Pirlo wa London anatarajia kukumbana na kibarua kizito mbele ya Mremo Moutinho aliyetokea Monaco.  West Ham wamepoteza michezo mitatu na kama watafungwa tena utakuwa mchezo wa 4 na mara yao ya mwisho kufanya hivyo walikuwa chini ya  Avram Grant mwaka. 2010.

3) Je Burnley watatumia udhaifu wa safu ya Ulinzi ya Man United?

Kuna tetesi kuwa  Manchester United kupata kipondo kutoka kwa  Tottenham Hotspur kocha wa José Mourinho amepewa mchezo mmoja tu kutetea kibarua chake.  Jamie Carragher na Gary Neville wameponda sana kiwango cha safu ya ulinzi ya United Phil Jones, Chris Smalling na Victor Lindelof na kusema huwezi kupaya mafanikio ukiwa na wachezaji kama hao. Kocha Sean Dyche huenda akatumia fursa hiyo kupata alama kadhaa kutoka kwa mashetani wekundu

Manchester United manager Jose Mourinho watches Paul Pogba during their game against Tottenham.
 

4) Je Emery atampanga vipi Özil dhidi Cardiff?

Özil, alisaini mkataba wa £350,000 wa miaka mitatu mnamo February mwaka huu. Mchezo wa mwisho Ozil ilisemekana ni mgonjwa na hakupangwa. Kabla ya hapo Ozil alionekana kucheza chini ya kiwango. Mfumo wa Unai ni wa kucheza zaidi kitimu kuliko kuangalia uwezo binafsi wa mtu. Je mchezo unaokuja Ozil atapata nafasi? Je Ozil atawezana na kasi ya Unai au atatolees tena kipindi cha pili

Will Mesut Özil be on the bench for Arsenal again?
 

5) chelsea hapatoshi

Chelsea watakutana na Bournemouth na Stamford Bridge. Timi zote zina uwezo wa kufunga mabao. Je chelsea watamzuia Josh King na Callum Wilson? Micheso ya mitatu ya mwisho Bournemouth wamefunga mabao mawili kila mchezo. Bado David Luiz na Antonio Rüdiger wamekuwa wakiruhusu mabao kizembe.

6) Ni Pereyra au Lucas Moura pale Vicarage Road

Tottenham wanapaswa kuwa makini na Roberto Pereyra. Pereyra amefunga mabao matatu kwenye michezo miwili ya mwisho. Lucas Moura nae tumeona sio haba pale Old trafford.

7) Nani atamzuia Zaha

Southampton wanakutana na Crystal Palace.  Mark Hughes anapaswa kuwa makini dhidi ya mfungaji bora huo wa Palace.  Martin Atkinson ndiye mwamuzi wa mchezo huo .Roy Hudgson pia ni kocha mzoefu. Utakuwa mchezo wa aina yake. Zaha amekuwa kiwango kizuri sanam amekuwa tishio kwa vilabu vya daraja la kati amekuwa pia akisakwa na vilabu vikibwa hasa baada ya kuonesha kiwango kikubwa.

Wilfried Zaha is challenged during Crystal Palace’s game against Watford.
 

Pos Team P GD Pts
1 Liverpool 3 7 9
2 Tottenham Hotspur 3 6 9
3 Chelsea 3 5 9
4 Watford 3 5 9
5 Man City 3 7 7
6 AFC Bournemouth 3 3 7
7 Leicester 3 2 6
8 Everton 3 1 5
9 Arsenal 3 -1 3
10 Crystal Palace 3 -1 3
11 Fulham 3 -2 3
12 Brighton 3 -2 3
13 Man Utd 3 -3 3
14 Wolverhampton 3 -2 2
15 Cardiff 3 -2 2
16 Newcastle 3 -2 1
17 Southampton 3 -2 1
18 Burnley 3 -4 1
19 Huddersfield 3 -8 1
20 West Ham 3 -7 0

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here