Home Ligi EPL Mane atisha kama moto wa kifuu

Mane atisha kama moto wa kifuu

9816
0

Sadio Mane ametandika hatrick yake ya kwanza. Liverpool imegawa dozi ya mabao 4-0 kwa West ham.

Liverpool 4-0 West Ham FT:

⚽️ Salah
⚽️ Mané
⚽️ Mané
⚽️ Sturbridge

Imemchukua Sekunde 25 tu kwa Dan Sturridge kufunga bao lake ikiwa amegusa mpira mara moja tu na kujipatia bao.

Kwenye msimu wa tatu mfululizo, Sadio Mane amefunga goli katika mchezo wa kwanza wa msimu

2016/2017 alifunga dhidi ya Watford
2017/2018 alifunga dhidi ya Arsenal
2018/2019 amefunga dhidi ya Westham

Mo Salah ametimiza mabao 20 katika uwanja wa Anfield katika michezo 20. Kayika michezo yake yote dhidi ya West Ham amewafunga mabao manne na kutengeneza 1.

Naby Keita ameonesha kiwango cha hali ya juu sana katika mchezo wa leo. Mlinda mlango mpya Allison amefanikiwa kuzuia lango laake kutokupata dhahma yeyote.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here