Home Dauda TV Mapokezi ya Simba Mwanza si mchezo

Mapokezi ya Simba Mwanza si mchezo

9360
0

Kikosi cha Simba kimewasili jiji Mwanza kwa ajili ya mechi ya Ngao ya Jamii kesho Jumamosi dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Kirumba.

Mashabiki wengi wa Simba wamejitokeza uwanja wa ndege wa Mwanza kuipokea timu yao wakiwa kwenye ‘bodaboda’ daladala na Malori.

Wakati basi la wachezaji wa Simba likielekea hoteli waliyofikia, mashabiki walilifuata kwa msururu huku wakishangilia.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here