Home Kimataifa Mata mbioni kutimka United, Mtangazaji Martin Tyler apigwa na shabiki

Mata mbioni kutimka United, Mtangazaji Martin Tyler apigwa na shabiki

9362
0

Nyota wa klabu ya Manchester United Juan Mata could inasemekana yupo mbioni kutua klabu yake ya zamani ya Valencia. (Source: Sun Sport)

Sky sports imeripoti kuwa kiungo wa Arsenal Joel Campbell anafanya vipimo vga afya katika klabu ya Serie A Frosinone1928

Mtangazaji wa soka bwana Martin Tyler amelaani kitendo cha kupigwa kichwani na mshabiki wakati mpira wa mechi za mchangani. Kitengo cha
Wealdstone kimachunguza kitendo hicho kilichotokea kwenye mchezo wao dhidi ya Woking kule Grosvenor Vale.

Tyler mwemye umri wa miaka , 72, alikuwa akifanya kwa muda katika ligi ya Vanarama National League South club Woking kama kocha msaidizi

Kitwndo hicho kilitokea baada ya Wealdstone kufunga mkwaju wa penati zikiwa zimesalia dakika tano kwenye ushindi wa 1-0

Real Madrid wanahitaji kushinda kwenye fainali ya leo dhidi ya Atetico Madrid, ili kufikia rekodi ya Barcelona walioshinda Kombe hilo mara tano.

Ikumbukwe, klabu ya Ac Milan, wametwaa Kombe hilo mara tano, sawa na Fc Barcelona

Winga wa klabu ya Crystal palace, Wilfred Zaha, amesaini mkataba mpya na klabu ya Crystal palace, ambao utakaomfanya abaki katika klabu hiyo mpaka mwaka 2023.

Zaha, ambaye hivi karibuni amekuwa akihusishwa kuondoka katika klabu hiyo na kujiunga na klabu ya Chelsea, na Tottenham.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here