Home Kitaifa Meddy Kagere anatisha jamani, ona jeuri anayowapa Wekundu wa Msimbazi

Meddy Kagere anatisha jamani, ona jeuri anayowapa Wekundu wa Msimbazi

15490
0

Mwanzo wakati anakuja Simba watu walimuita mzee aka Mhenga lakini kocha msaidi wa Simba Masoud Djuma akawaambia watoto wako nyumbani huyu Kagere ni Mzee wa Kazi.

Haikuhitaji ligi kuanza ili Kagere awaoneshe kuwa yeye ni mzee wa kazi, ngao ya Hisani tu hapo jana imewaonesha kwamba Kagere kaja Tanzania kwa kazi moja tu, nayo ni kupasia nyavu.

Mashabiki wa Simba tayari wameanza kupata jeuri kuhusu mshambuliaji huyu, kama video hii inavyoonesha.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here