Home Kimataifa Mkhitaryan nje wiki 6, Klopp awaonya wachezaj wake

Mkhitaryan nje wiki 6, Klopp awaonya wachezaj wake

4588
0

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp anaamininkuwa nyota wake wawili beki wa pembeni Trent Alexander-Arnold na kiungo wake wa kati Naby Keita wakatakuwa fiti katika mchezo ujao dhidi ya Newcastle.

Hata hivyo Klopp amewaasa wachezaji wake kuwa wasiridhike na matokeo hadi mchezo wa mwisho wa ligi. Amewasihi wachezaji wake kucheza kwa uchu na hasira katika mchezo ujao.


Waliokuwa wanaongoza kabla ya kristmasi:

❌ 08/09: Liverpool, 2nd
✅ 09/10: Chelsea, 1st
✅ 10/11: Man U, 1st
✅ 11/12: Man City, 1st
✅ 12/13: Man U, 1st
❌ 13/14: Liverpool, 2nd
✅ 14/15: Chelsea, 1st
✅ 15/16: Leicester, 1st
✅ 16/17: Chelsea, 1st
✅ 17/18: Man City, 1st


Kinda Karamoko Dembele amemwaga wino kwa mara yake ya kwanza kwenye mkataba wa kucheza timu ya wakubwa akiwa na miaka 15 tu na klabu yake ya Celtic. Kinda huyo mwenye kipaji cha hali ya juu ataichezea klabu hiyo mpaka ifikapo mwaka 2021.

 

Karamoko Dembélé
Wasifu binafsi
Majina Karamoko Kader Dembélé
Kuz 22 Feb 2003 (15)
Mah London, England
Naf Winga


Nyota wa Arsenal na timu ya taifa ya Armenia Henrikh Mkhitaryan ameumia mguu na atakaa nje kwa majuma 6.

Klabu ya Arsenal The Gunners  imethibitisha kuwa kiungo wao machachari Mkhitaryan atakuwa nje kwa muda usiopungua wiki 6 baada ya kuvunjika mfupa wa mguu (metatarsal).

Mkhitaryan alipatwa na majeraha hayo katika mchezo dhidi ya Tottenham, mchezo ambao Arsenal iliambulia kichapo cha mabao mawili kwa bila na kuondoshwa katika mashindano ya Carabao Cup(kombe la ligi).

Michezo anayotarajiwa kuikosa ni dhidi ya Liverpool, Chelsea na dhidi ya Manchester city February 3.


PATA KIFURUSHI: WAFUNGAJI BORA MWAKA 2018

26 Salah
23 Kane
22 Aubameyang
17 Vardy
17 Aguero


KULE UHOLANZA MAMBO NI MOTO MZUNGUKO WA KWANZA

Ni kipute baina ya PSV na AJAX

✔️USHINDI
PSV 16 vs 15 AJAX
—————————
↔️SARE:
PSV 0 vs 1 AJAX
———————————-
⚠️VIPIGO:
PSV 1 vs 1 AJAX
———————————-
⚽MAGOLI YA KUFUNGA:
PSV 60 vs 60 AJAX
———————————–

🎯MAGOLI YA KUFUNGWA:
PSV 8 vs 8 AJAX
———————————–
➕ALAMA:
PSV 48 vs 46 AJAX
———————————–


MATUKIO KATIKA PICHA

Uwanja wa Old Trafford ukiwa umejaa barafu. Jitihada za kuuweka sawa kwa ajili ya mtanange ujao unaendelea

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here