Home Kimataifa Morata done deal, CAF yafanya mabadiliko

Morata done deal, CAF yafanya mabadiliko

3655
0

Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Alvaro Morata, amekamilisha uhamisho wa mkopo kujiunga na klabu ya Athletico Madrid, mpaka mwaka 2020.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 alijiunga na klabu ya Chelsea, msimu wa mwaka 2017, akitokea klabu ya Real Madrid.

Nyota huyo msimu huu chini ya Maurizio Sarri, amecheza michezo 11tu ndani ya klabu ya Chelsea.


Taarifa kutoka CAF

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeamua kusogeza mbele kwa wiki moja kuanza kwa mashindano ya AFCON 2019, kutoka Juni 14 hadi Juni 21 ili kupisha mfungo wa Ramadhani.

CAF, wamefikia uamuzi huo baada ya kupata maombi kutoka nchi mbalimbali.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here