Home Dauda TV Mwl. Kashasha amkingia kifua Dida

Mwl. Kashasha amkingia kifua Dida

5308
0

Simba imeondolewa kwenye mashindano ya kombe la TFF (Azam Sports Federation Cup) baada ya kufungwa 3-2 na Mashujaa FC ya Kigoma.

Mchambuzi wa soka nchini Mwl. Kashasha amemtetea golikipa wa Simba Deogratius Munishi ‘Dida’ ambaye alidaka katika mechi hiyo na amekuwa akitumiwa lawama kwama ameruhusu magoli mepesi katika mechi hiyo.

“Hayo ni matokeo ya mchezaji mara nyingi kukaa benchi”-Mwl. Alex Kashasha, kuhusu magoli aliyofungwa golikipa wa Simba Deogratius Munishi ‘Dida’.

Full video ya uchambuzi wa Mwl. Kashasha vs Dida ipo hapa chini #YouTube kwenye channel yangu ya #DaudaTV pia usiache ku-subscribe ili uwe unapata notification kila ninapo-post.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here