Home Dauda TV Mzee Dalali awatumia salam Yanga

Mzee Dalali awatumia salam Yanga

4220
0

Baada ya Simba kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya ligi ya vilabu bingwa Afrika, mwenyekiti wa zamani wa Simba Hassan Dalali amewatumia salamu watani zao wa jadi Yanga.

“Hii Simba nyingine…bahati yao tungewapiga 5 hapa, mwaka huu tunataka kuchukua ubingwa wa Afrika”-Hassan Dalali, Mwenyekiti wa zamani Simba.

“Hao wa milongeni kwanza wananjaa…tutarudi kwenye ligi wao wametangulia tu.”

Full video tayari nimeiweka YouTube kwenye channel yangu Dauda TV, usisahau pia ku-ku-subscribe ili uwe wa kwanza kuona video ninazozi-post.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here