Home Ligi EPL Nani kutwaa tuzo ya kocha bora na mchezaji bora wa Mwezi

Nani kutwaa tuzo ya kocha bora na mchezaji bora wa Mwezi

8759
0
NEWCASTLE UPON TYNE, ENGLAND - AUGUST 26: Fabian Schar of Newcastle United fouls Marcos Alonso of Chelsea inside of the penalty area, leading to Chelsea being awarded a penalty during the Premier League match between Newcastle United and Chelsea FC at St. James Park on August 26, 2018 in Newcastle upon Tyne, United Kingdom. (Photo by Stu Forster/Getty Images)

Wanaowania tuzo ya kocha bora wa

Javi Gracia (WAT) W3 D0 L0

Watford wameshinda michezo yao yote mitatu. Gracia amewekeeza mfumo uliofanya kazi kwa asilimia 100. Timu imecheza kwa kasi ya ajabu na kwa kujituma.

Jurgen Klopp (LIV) W3 D0 L0

Liverpool imeshinda michezo yake mitatu bila kuruhusu bao lolote. 

Mauricio Pochettino (TOT) W3 D0 L0

The Tottenham Hotspur wameshinda michezo yao mitatu bila kupoteza huku ikipata ushindi mnono wa mabao 3-0 ndani ya Old Trafford.

Maurizio Sarri (CHE) W3 D0 L0

Chelsea wamzifunga timu ngumu kama Huddersfield Town na Newcastle United, kabla ya kutoa dozi ugenini kwa Arsenal.

Orodha ya mchezaji bora wa mwezi

Marcos Alonso (CHE)
Amecheza mechi 3, Ameshinda , Amefunga bao 1 na Ameasisti 1

Neil Etheridge (CAR)
Ni mfilipino wa kwanza kucheza England. Hajaruhusu bao lolote kwenye mechi tatu na kufungwa mchezo mmoja tu

Sadio Mane (LIV)
Amefunga mabao matatu mpaka sasa

Benjamin Mendy (MCI)
Katika michezo mitatu ameasisti mabao matatu na kuisaidia timu yake kutokuruhusu bao mchezo mmoja.

Lucas Moura (TOT)
Amefunga mabao matatu mpaka sasa bika kusahau mabao yake mawili ndani ya Old trafford.

Roberto Pereyra (WAT)
Amefunga mabao matatu

Virgil van Dijk (LIV)
Amehakikisha lango lao halijaguswa bao lolote.

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here