Home Kimataifa Ni DO or DIE Simba vs AS Vita

Ni DO or DIE Simba vs AS Vita

3080
0

Simba imeshinda mechi zote (4) za nyumbani za CAF Champions League msimu huu, kwa hiyo Simba imeshinda kwa 100% mechi zake ikicheza uwanja wa taifa.

Simba 4-1 Mbabane Swallows
Simba 3-1 Nkana
Simba 3-0 Saoura
Simba 1-0 Al Ahly
Simba ?? AS Vita

Simba vs AS Vita

Ni mechi ngumu kwa timu zote, kila timu inafahamu ushindi pekee ndio utaifanya ifuzu hatua ya robo fainali.

Afadhali AS Vita ingekuwa inahitaji sare labda wangekuja na plan ya kupata pointi moja lakini wao pia wanajiandaa kuja kupata pointi tatu waendelee mbele.

Simba pia inahitaji pointi tatu ili iendelee kuishi kwenye ligi ya mabingwa msimu huu.

Kwa hiyo kwa sisi watanzania tunaopenda mpira, hii ndio mechi ya kwenda kuangalia ni bonge moja la game.

Kuwa sehemu ya historia kwa wachezaji wa Simba ni jukumu lao, waone ugumu wa mechi na namna ambavyo wanaweza kupambana kupata matokeo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here