Home Dauda TV Noma! Gabo alivyopagawa ushindi wa Simba

Noma! Gabo alivyopagawa ushindi wa Simba

3689
0

Mkali wa Bongo Movie Gabo Zigamba kumbe ni shabiki wa mnyama bwana, kwenye game ya Simba vs Al Ahly alikuwepo uwaja wa taifa ku-support chama lake na kufanikiwa kushinda 1-0.

Gabo alijikuta anashindwa kuzuia mizuka yake baada ya Meddie Kagere kuifungia Simba bao, Gabo akaanza kurukaruka na kukimbia huku na kule kusherekea goli hilo.

Jamaa kumbe mbali na masuala ya sanaa ya uunguzaji anapenda sana na anafatilia soka, #DaudaTV ikaomba kufanyanae interview lakini Gabo hakuwa tayari kwa wakati huo akisema bado anamizuka ya kuangalia game.

Angalia full video hapa chini #YouTube kwenye channel yangu ya #DaudaTV bofya PLAYâ–¶kuangalia mwanzo mwisho.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here