WACHEZAJI BARCA WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA TITO VILANOVA

WACHEZAJI wa Barcelona wametembelea eneo maalum lililoandaliwa na klabu kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyewahi kuwa kocha mkuu wa timu hiyo,...

MWAMBUSI: KOCHA BORA LAZIMA AJIAMINI NA KUSHIKILIA FALSAFA YAKE

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KOCHA wa Mbeya City fc, Juma Mwambusi amesema kuwa kuwaamini vijana katika klabu kunahitaji kuwapa muda ili kufikia malengo. Mwambusi...

KUNUSURIKA KUPOROMOKA DARAJA KWAWAPA SOMO PRISONS

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MAAFANDE wa Tanzania Prisons `Wajelajela` wanasubiri kwa hamu kubwa ripoti ya kocha wao, David Mwamwaja ili waanze kuandaa mikakati...

WENGER BADO YUPO YUPO SANA ASERNAL

ASERNE Wenger amesema bado ataendelea kuwepo Asernal msimu ujao wa ligi kuu nchini England na tayari ameshawaambia viongozi wake kuhusu jambo hilo. Mfaransa huyo hajasaini...

KOCHA BARCELONA TITO VILANOVA AFARIKI DUNIA

TANZIA!. Wakati klabu ya FC Barcelona ikiwa na matatizo ya uwanjani wiki za karibuni, leo hii machungu yameongezea zaidi baada ya kocha wake wa...

COASTAL UNION MOTO WAZIDI KUWAKA, AFISA HABARI ABWAGA MANYANGA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam AFISA habari wa klabu ya Coastal Union, Hafidh Kido ametangaza kubwaga manyanga kutokana na migogoro inayoendelea katika klabu hiyo. Akiongea...

ANCELOTTI AFAGILIA MFUMO WA GAURDIOLA BAYERN MUNICH

KOCHA wa Real Madrid, raia wa Italia, Carlo Ancelotti ameutetea mfumo aliotumia Pep Guardiola wakati klabu yake ilipopambana na Bayern Munich katikati ya wiki...

MOURINHO: NIACHIENI CHELSEA YANGU, KIKOSI SUBIRINI JUMAPILI

JOSE Mourinho amegoma kuzungumzia kuhusu kikosi atakachopanga katika mchezo wa ligi kuu soka nchini England baina ya klabu ya Chelsea dhidi ya Liverpool jumapili...

KENYA YAWASILI KUIVAA NGORONGORO HEROES

Timu ya vijana ya Kenya inatarajiwa kuwasili nchini leo (Aprili 25 mwaka huu) saa 1 usiku tayari kwa ajili ya mechi dhidi ya Tanzania...

TAIFA STARS, BURUNDI ZAAHIDI SOKA MARIDADI

Makocha wa timu za Taifa za Tanzania (Taifa Stars) na Burundi (Intamba Mu Rugamba), Salum Mayanga na mwenzake Niyungeko Alain Olivier wameahidi burudani ya...

AZAM YAIBANA CECAFA KUSHIRIKI MICHUANO MIPYA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BARAZA la vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limeanzisha mashindano mapya ya klabu ambayo yatakuwa yanashirikisha mabingwa...

KLOPP: NINA SABABU 1,000 ZA KUKATAA ULAJI MAN UNITED

JURGEN Klopp amesema ana `sababu 1,000` za kuendelea kubaki Borussia Dortmund na kukataa kujiunga na Manchester United. Klopp amekuwa akihusishwa kuhamia Old Trafford tangu David...

SCORALI AIOMBEA DUA MBAYA CHELSEA UEFA

KOCHA wa timu ya taifa ya Brazil Luiz Felipe Scolari anaamini Atletico Madrid itaitupa nje Chelsea katika michuano ya UEFA msimu huu. Chelsea ilitoa suluhu...

MKENYA OGWAYO KUCHEZESHA STARS, BURUNDI, KOCHA MPYA STARS KUTUA JUMAMOSI

Mwamuzi Anthony Ogwayo mwenye beji ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kutoka Kenya ndiye atakayechezesha mechi kati ya Tanzania (Taifa Stars)...

LIVERPOOL v CHELSEA: MOURINHO KUPUMZISHA MASTAA KUWASUBIRI ATLETO

JOSE MOURINHO amebainisha kuwa anataka kuwapumzisha Wachezaji kadhaa muhimu watakaposafiri kwenda Anfield hapo Jumapili kucheza na Vinara wa Ligi Kuu England, Liverpool, kwenye Mechi...

SIR ALEX KUSHIRIKI KUSAKA MRITHI WA MOYES MAN UNITED

SIR ALEX FERGUSON atashiriki kikamilifu katika mchakato wa kumpata Meneja mpya wa Manchester United kuziba nafasi ya David Moyes aliefukuzwa. Moyes, ambae alipendekezwa na Sir...

EUROPA LIGI-NUSU FAINALI: LEO SEVILLA v VALENCIA, BENFICA v JUVE

LEO Usiku, Mechi za Kwanza za Nusu Fainali za EUROPA LIGI zitachezwa na Klabu za Spain, Valencia na Sevilla, zitakutana huko Estadio Ramon Sanchez...

SIMBA YAMALIZWA NA MABADILIKO YA BENCHI LA UFUNDI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MABADILIKO ya mfululizo katika benchi la ufundi imetajwa kuwa moja ya sababu ya Wekundu wa Msimbazi kufanya vibaya msimu...

POLISI MORO WAJIFUNZA KWA WAGONGA NYUNDO WA MBEYA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BAADA ya kurejea ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2014/2015, klabu ya Polisi Morogoro ameanza tambo za...

UBINGWA AZAM WATOA LIKIZO NDEFU KWA WANANDINGA WAKE

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MABINGWA wapya wa ligi kuu soka Tanzania bara, wana Lambalamba, Azam fc wameamua kuwapumzisha wachezaji wao kwa muda...