Home Kitaifa Kakolanya kumng’oa Yanga Papaa Zahera Mwinyi

Kakolanya kumng’oa Yanga Papaa Zahera Mwinyi

9670
0

Mambo yanazidi kupamba moto Yanga…si unakumbuka juzi kazi kocha wa Yanga Zahera Mwinyi alisema golikipa Beno Kakolanya atafute timu ya kucheza kwa sababu hawezi kurudi tena Yanga?

Sasa inaonekana kuna watu walikuwa wanampambania Beno arudi Yanga, Zahera kuonesha yeye ni mtu wa misimamo amesema endapo golikipa huyo atarudi kwenye ‘Chama la Wananchi’ basi yeye atang’oka!!

Ebwana si mchezo, sasa Yanga wanatakiwa kuchagua moja kusuka au kunyoa, wachague kubaki na mmoja BENO KAKOLANYA au ZAHERA MWINYI…huyo ndio Papaa mutu ya Congo.

Zahera mwenyewe kafunguka full video ipo #YouTube kwenye channel yangu #DAUDA TV.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here