Home Dauda TV Papii Kocha kaikana Simba, kamuaga Cannavaro

Papii Kocha kaikana Simba, kamuaga Cannavaro

12680
0

Papii Kocha Mtoto wa Mfalme ameweka wazi kuwa familia yao ni wapenzi na washabiki wa Yanga.

Haji Manara amewahi kupost picha ya Papii akiwa amevaa jezi ya Msimbazi na kuahidi kumpa jezi mpya ya Simba akiamini mkali huyo wa kibao cha ‘Seya’ ni shabiki wa mnyama.

Papii amesema jana ndio ilikuwa mara ya kwanza kumuona Cannavaro uwanjani, anaukubali uwezo wake kwenye soka na uongozi. Ameahidi kumuenzi milele.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here