Home Kimataifa Picha nzima kuhusiana na usajili wa Samatta

Picha nzima kuhusiana na usajili wa Samatta

7807
0

Cardiff City imekubali kutoa kitita cha £18m straika Emiliano Sala. Salah ni raia wa Argentine anayekipiga kunako klabu ya Nantes ya Ufaransa. Jarida maarufu ya Skysports limeripoti kuwa Sala tayari amefika Wales kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya.

Lakini miamba hao kutoka Wales wameonesha nia ya kumtaka nyota wa ligi kuu nchini Ubelgiji Mbwana Samatta. Wadau wengi wamejiuliza je usajili wa Sala hautakwamisha dili la Samatta?

# U Klabu G
1
Mbwana Samatta
Fowadi
26 KRC Genk
2
Landry Dimata
Fowadi
21 RSC Anderlecht
3
Hamdi Harbaoui
Fowadi
34 SV Zulte Waregem
4
Ivan Santini
Fowadi
29 RSC Anderlecht
5
Daichi Kamada
Fowadi
22 Sint-Truidense VV

Sio Cardiff tu nyota huyo ambaye pia ni kinara wa magoli nchini Ubelgiji Samatta anawindwa pia na klabu ya Fenerbahce.

Mbwana amekwisha tia kimyani magoli 15 kwemye michezo 20. Klabu ya Middlesbrough mwanzoni mwa msimu pia walionesha nia ya kuhitaji huduma za kinara huyo.

Hii ni taarifa kwa mujibu wa jarida maksusi la Cardiff (Cardiff Online)

  Mechi  Magoli  A  🕒  Dkk
31 24 2 102 2.443
20 15 1 107 1.601
5 3 1 142 426
5 6 68 410
1 6

Pia kwa mujibu wa jarida la Ufaransa limedai kuwa ofa ya Cardiff ya £13 pamoja na bonusi imekataliwa na klabu ya Genk.

Mapema kabisa jarida la HITC liliripoti taarifa kuhusiana na Mbwana Samatta. Kocha wa Cardiff alipoulizwa kuhusu mipango ya kufanya usajili alisema

kufanya usajili januari ni sawa na kupanda mlima ukiwa na mkate mkononi”

Alimaanisha kuwa huu ni wakati wa kuipigania Cardiff mlimani hivyo ili kukamilisha safari yako lazima uwe na mkate ambao utakusaidia kufika kileleni. Cardiff haina mashaka na uwezo wa Samatta lakini inajua fika dau la Samatta sio hela ya mboga.

Thamani ya vikosi ligi kuu Ubelgiji (saba bora
Club Squad Total MV ø-MV
462 £591.01m £1.28m
Club Brugge KV 31 £99.18m £3.20m
KRC Genk 27 £89.10m £3.30m
RSC Anderlecht 36 £69.66m £1.94m
Standard Liège 26 £59.90m £2.30m
KAA Gent 30 £58.14m £1.94m
RSC Charleroi 28 £27.11m £968k
Royal Antwerp FC 25 £24.93m £997k

Kuna uwezekano mkubwa Samatta akaweka rekodi ndani ya klabu hiyo kwa kununuliwandau kubwa Samatta msimu huu ana magoli 24 katika michezo 31.

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here