Home Kimataifa “Ramsey akiondoka ni uhalifu wa kisoka” Merson

“Ramsey akiondoka ni uhalifu wa kisoka” Merson

4824
0

Paul Merson: Kumwachia mchezaji wa hadhi ya Ramsey kirahisi rahisi ni uhalifu mkubwa wa kisoka. Uongozi wa Arsenal umefilisika kifikra. Tatizo la Ozil bado hawajatatua leo Ramsey anaondoka kizembe. Wasahau kupata mafanikio ambayo waliyapata miaka 20 iliyopita.


Klabu ya Seville inamuwinda fowadi hatari wa Chelsea Alvaro Morata. Seville imesema ipo tayari kumlipa kitita cha Paundi milioni 5 kwa mwaka. Seville inajaribu kumnasa kwa mkopo huku wakitarajia hapo baadae kupeleka ofa ya Paundi milioni 35 kumnasa moja kwa moja.


Chelsea wapo mbioni kuwasajili Nicolo Barella kutoka Cagliari pamoja na kiungo kutoka Zenit Leandro Paredes


Henri Camara: Tunasali kumwombea Sadio Mane aweze kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika.


🎉 Happy Birthday David Silva

🏟 569 Mechi
🇪🇸 125 taifa
⚽ 105 Magoli
🎯 152 Assists

1 🏆🇪🇸 Copa Del Rey

3 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Premier League
3 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 League Cup
2 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Community Shield
1 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 FA Cup

2 🏆🇪🇺 European Championship
1 🏆 🌍 FIFA World Cup

🎩 ‘El Mago’ – The Magician.


Bayern haijachoka bado kumfuatilia kinda wa Chelsea. Zamu hii imepeleka dau la paundi 35 kumnasa kinda huyo Hudson-Odoi


Sarri: Sihitaji wachezaji wasio na furaha klabuni kwangu. Mtu yeyote akijisikia kubaki abaki, mtu akitaka kwenda basi acha aende

Fabregas EPL

Mechi 350
Magoli 50
Assists 114

Takwimu zake kwa Chelsea
Mechi 198
Magoli 22
Assists 57

Takwimu za Fabregas kwa ujumla
Mechi 656
Magoli 123
Assists 202


Kocha mkuu wa Spurs Mauriccio Pochettino amewakata maini mabwenyenye wa jiji la Manchester kwa kusema kuwa yeye ana ndoto za kuiongoza Spurs kwa miaka zaidi ya 20. Pochettino amekuwa akihusishwa sana taarifa kuwa atakwenda kuinoa klabu ya Man United wakati wa dirisha kubwa.

Pochettino alijiunga na Spurs 2014 akitokea Southampton.


Kikosi cha timu ya taifa ya wanawake England

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here