Home Kimataifa Ronaldo De lima atabiri bingwa wa Uefa msimu huu

Ronaldo De lima atabiri bingwa wa Uefa msimu huu

13089
0

Ronaldo ana imani kuwa vilabu vya England vitaleta changamoto kubwa kwa Real Madrid na BarcelonaReal Madrid na Barcelona ni vilabu vyenye vikosi vikubwa na wachezaji wazuri sana. Msimu uliopita Real Madrid walitwaa ubingwa wa ulaya na kuendeleza ubabe wa ulaya.Timu za la liga kwa miaka mitano vimebeba makombe yote Madrid mara 4 na Barca mara 1.Liverpool walikuja juu sana kufanikiwa kutinga hatua ya fainalia kabla ya kubamizwa 3-1 kule mjini Kiev na Real MadridRonaldo waliwahi kuichezea Barca 1996-97 na baadae Madrid msimu wa 2002 mpaka 2007. Ingawa Ronaldo ametahadharisha kuwa msimu huu vilabu vya Uingereza vina njaa ya ubingwa walioumisi tokea mwaka 2012. Amevitaja vilabu kama Chelsea Liverpool na Man City wanaweza kuwazuia wahispania.”bingwa wa Champions League mwaka huu? Ni wale wale tu: Real Madrid na Barcelona,” alisema hayo akiwa anafanya mahojiano na Omnisport.“Real Madrid ni mabingwa wa kihistoria, mabingwa mara 4, Madrid sio mtu ni historia, ina utamaduni wa kutwaa mataji na wana morali hiyo””ingawa timu nyingi zimejiandaa kwelikweli na mashindano haya yatakuwa magumu mno””shida sio kufuzu hatua ya makundi tu, kuna hatua ya 16 bora, mashindano haya ni magumu na yamechangamka sana”” Ni kweli timu za England ni nzuri na zimejiandaa vizuri. Kila kitu kinawezekana ushishangae wakatusapraizi. Mbali na yote hayo kama bahati na uwezo, bado naamini Hispania kuna timu bora zaidi“Waingereza vilabu vyao vina pesa hivyo pia wanaweza kuleta upinzani mkubwa sio wa kiwabeza”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here