Home Kimataifa Ronaldo kuwavaa Sampdoria, Raisi wa Sampdoria aweka kiapo

Ronaldo kuwavaa Sampdoria, Raisi wa Sampdoria aweka kiapo

4818
0

Juventus Vs Sampdoria, mchezo huo utachezwa katika dimba la Allianz Stadium Torino, majira ya saa 14:30 mchana.

Juventus wameshinda michezo nane kati ya michezo kumi waliyokutana na Sampdoria, kwenye ligi kuu sare 1 amepoteza 1 baada ya kushinda mchezo moja iliyopita kati ya michezo 10 sare mara 6 na amepoteza mara 3.


PATA KIFURUSHI

Raisi wa Sampdoria Massimo Ferrero amesema kama klabu yake itafanikiwa kuifunga Juventus basi atanyoa kichwa chake kama Radja Nainggolan.

Juventus, wameshinda michezo mitatu ya mwisho ya ligi kuu katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Sampdoria.

Mara ya mwisho Sampdoria kushinda michezo minne au zaidi ya michezo minne mfululizo katika ligi kuu kwenye uwanja wa nyumbani ilikuwa dhidi ya Blucerchiati mwaka 1986 alishinda michezo mitano mfululizo.

Juventus, wanahitaji ushindi kwenye mchezo huo ili rekodi ya kufikisha alama 52 ambazo pia msimu wa mwaka 2005/06 na msimu wa mwaka 2013/14.


Mehd Benatia anatarajia kuchukua nafasi ya Chielin kama hataa fiti sana kufikia hapo kesho, huku Sam Khedira akirudi tena benchi baada ya kusumbuliwa na majeraha

Juventus, hawajaruhusu bao zaidi ya moja katika mechi moja kwenye uwanja wa nyumbani kwenye ligi kuu mara ya mwisho ilikuwa October, 2017 walicheza michezo 23 na waliruhusu mabao 10 michezo 23 sare 2 kupoteza 1.

Sampdoria, ameshinda michezo mitatu ya mwisho ya ligi kuu pia wanaangalia uwezekano wa kushinda michezo minne mfululizo mara ya mwisho ilikuwa msimu wa mwaka 2015


Federico Bernadeschi nae ameanza mazoezi mepesi na huenda akawa fiti kwa ajili ya mpambano huo

Sampdoria mara ya mwisho kushinda mchezo wa ugenini kwenye ligi kuu walimfunga Empoli, kwa mabao 4-2 pia wakatoa sare michezo 2 kati ya michezo minne.

Mshambuliaji wa klabu ya Sampdoria, Fabio Quagliarella, amefunga katika michezo nane ya mwisho kwenye ligi kuu mchezaji wa mwisho kufunga katika michezo tisa mfululizo alikuwa David Trezquet, December 2005.


Kocha mkuu wa Juventus amesema Ronaldo yupo fiti kwa ajili ya mtanange huo

Makala kutoka kwa Azizi Mtambo 15

Michezo mingine

Utabiri wa kikosi cha hapo kesho kwa upande wa Juventus

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here