Home Dauda TV Sababu ya Emmanuel Okwi kusugua benchi yatajwa

Sababu ya Emmanuel Okwi kusugua benchi yatajwa

13381
0

Simba wamefanikiwa kuianza ligi kuu msimu huu kwa kishindo baada ya kuicgapa timu ya Prisons ya jijini Mbeya kwa bao 1 kwa nunge bao ambalo liliwekwa kimiani na Meddy Kagere dakika ta 2 tu.

Pamoja na Simba kuibuka kidedea lakini mashabiki wa klabu hiyo walisikika wakilalamika kwa mchezaji wao kipenzi Emmanuel Okwi kuanzia benchi katika mechi ya leo.

Kocha mkuu wa klabu hiyo Patrick Aussems amezungumzia suala hilo baada ya mchezo na kusema moja ya sababu kubwa ya Okwi kukaa benchi hii leo ni majeruhi.

Aussems amesema usingekuwa vizuri kumuanzisha wakati ndio ametoka kumaliza matibabu na ukizingatia wana mchezo mwingine wa ligi siku ya Jumamosi.

Kuiona interview ya kocha Patrick hii hapa nimekuwekea Dauda Tv.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here